Uzi maalum wa kuziombea timu za Tanzania Simba na Yanga, zote zifuzu hatua ya makundi CAF

Mimi Simba ila utopolo walishawai kutufanyia unaa mkubwa sana kuwapa ushirikiano wa hali na mali wageni wanaocheza na Simba.

kuwaambia wapinzani wa Simba,"wasile chakula,maji wala juisi,wasiwashe ac hapo hotelini,vyumba vya kubadilishia nguo vya wachezaji wadeki na maji ya moto",,huu sio uungwana kabisa ni kuipaka matope Simba ionekane wameweka Sumu.
 
Utopolo tuwasamehe,maana wakati mwingne akili zao wanazijua wenyewe
 
Inatia hasira sana mkuu. Huu upumbavu ulivuka mipaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…