Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kama hawana akili ni wa kupigwa fimbo nyingi za kichwani hadi waimbe haleluya.Tuwasamehe tu maana hata akili hawana
Hata wakipumulia magoti siyo wa kuwahurumia.Yaan saiz wanapumlia mashne
Hapo walifanya ujinga kwa kweliMimi Simba ila utopolo walishawai kutufanyia unaa mkubwa sana kuwapa ushirikiano wa hali na mali wageni wanaocheza na Simba.
kuwaambia wapinzani wa Simba,"wasile chakula,maji wala juisi,wasiwashe ac hapo hotelini,vyumba vya kubadilishia nguo vya wachezaji wadeki na maji ya moto",,huu sio uungwana kabisa ni kuipaka matope Simba ionekane wameweka Sumu.
Kumsaidia mawazo chizi ni matumizi mabaya ya kichwa.Zimwi likujualo halikuli likakumaliza. Yanga Ni ndugu zetu,lazma tuwaonee huruma,pia tuwasaidie kimawazo
Yanga akifuzu ,amani itapotea mitaani mna maneno ya shombo ,Ngoja mkapigwe kama NgomaUshabiki tuweke pemben mkuu
Au tuwaombee wafungwe goli chache kuomba ni kuomba tuMkuu uwe na huruma.Waombee Yanga hata msamaha tu.Kuombea ni kuombea.
Kwa matokeo hayo simba anafuzuSasa Simba ndio anafungishwa virago. 2-0
watibiwe akili kwanza wakishapona ndo waombewe.Utopolo tuwasamehe,maana wakati mwingne akili zao wanazijua wenyewe
Hivi mbona sisi wa Azam na Kipanga mnatupitipa kama hamtuoni vile. Sawa dua la kukuHivi kwanin Tanzania Kisoka hatuna ushirikiano?
Tutambue kuwa umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.
Umoja wetu watanzania ndio uliotuwezesha kumshinda Idd Amin Dada mwaka 1978/1979.
Nawaomba wapenzi wa soka la Tanzania wote tuungane katika maombi na kupeana mbinu mbali mbali ili Tim zote zifuzu hatua ya makundi.
Tuache ushabiki hautatusaidia, hii ni Vita Kama Vita vingne, tutangulize utaifa Kwanza.
Wachungaji,Mapadre hata Mashehe karibuni mtoe maombi yenu.
Pia hata wataalam toeni ushaur kwa tim zote mbili kwamba inatakiwa zifanye nin ili zishnde mech za leo.
Timu zote mbili zikiingia makundi,Tanzania itaheshmika mno kimichezo.
NB: Utopolo tumsamehe kwa makosa ambayo anayafanyaga ya kuwapokea maadui na kuwafundisha mbinu pale wanapokuwa wanakuja Tanzania kucheza na Simba.
Karibuni kwa dua, Sala na ushauri pia