Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
Sie huku mtaani kwetu, vyuma vimekazwa! Mpaka mbuzi wanakula chips, na Mbwa wanakula mahindi ya kuchoma, na miwa. Sijui Uswaz kwenu kukoje huko wakuu....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Is dangerous sir.Irons are tighted everi wea mkuu
Is dangerous sir.
Pamoja mkuu.
[emoji23] [emoji23]Hapa kwetu mbuzi wameanza kula maharage na kunywa mchuzi wa nyama. Nadhani kwa miaka kadhaa ijayo tutaanza kushuhudia wanyama wanaumwa magonjwa ya binadamu. Unaenda nyumbani kwa MTU unaambiwa "usimshtue huyo kuku, ana presha" au "yaani mimi sijui nifanyaje, nguruwe wangu wote wanaumwa kisukari. Sijui ma miwa haya wanayokula!!!?"
IRONS ARE KAZED
Duuh! Hatari sana mkuu hiyo!Hapa kwetu mbuzi wameanza kula maharage na kunywa mchuzi wa nyama. Nadhani kwa miaka kadhaa ijayo tutaanza kushuhudia wanyama wanaumwa magonjwa ya binadamu. Unaenda nyumbani kwa MTU unaambiwa "usimshtue huyo kuku, ana presha" au "yaani mimi sijui nifanyaje, nguruwe wangu wote wanaumwa kisukari. Sijui ma miwa haya wanayokula!!!?"
IRONS ARE KAZED
Tutafika kweli mkuu?Huku kwetu njia za zamani zimeota nyasi vichochoro vimeongezeka watu wanakwepa madeni. Ndoa zipo kwenye hali tete sana, majini, dagaa ndio mboga nyama imekuwa anasa. Idada ya wanywa gogo ndio usiseme
Bongo ya Viwonder hiyo mkuu!Huku kwetu Watu wanafunga Fremu tu.
Hii safari ni ngumu ila tutafika kwa mbinde mkuu. Yaan sasa hivi kukutana na mtu kapishanisha vifungo vya shati au kavaa viatu rangi tufauti mchukulie poa tu maana wote si vichaa bali ni vyuma vimekaza tena vya mjerumani mkuu.Tutafika kweli mkuu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sio ya kucheka, vitu vingine vinachekesha mkuu!Hii safari ni ngumu ila tutafika kwa mbinde mkuu. Yaan sasa hivi kukutana na mtu kapishanisha vifungo vya shati au kavaa viatu rangi tufauti mchukulie poa tu maana wote si vichaa bali ni vyuma vimekaza tena vya mjerumani mkuu.
Hahahahaa aisee Cheka sanaHapa kwetu mbuzi wameanza kula maharage na kunywa mchuzi wa nyama. Nadhani kwa miaka kadhaa ijayo tutaanza kushuhudia wanyama wanaumwa magonjwa ya binadamu. Unaenda nyumbani kwa MTU unaambiwa "usimshtue huyo kuku, ana presha" au "yaani mimi sijui nifanyaje, nguruwe wangu wote wanaumwa kisukari. Sijui ma miwa haya wanayokula!!!?"
IRONS ARE KAZED