Uzi maalum wa Maisha ya ndege JOHN

Maisha na mziki
Katika playlist yangu hutamkosa songa,ghetto na kad go namkubali usipime
Nimemiss killinge Cha msasani B Na mwaka Jana freestyle rap battle ya micasa ya Riverside tulifanya kidogo Sanaa hii nimesikia wamehamia micasa ta magengeni sijui Kama kinaendelea nifuatilie asee hii Ni official hii Ni show nzito..unataka kucheza njoo disco haijalishi unatoka kariakoo or Miko cheni..songa mtata niliyatafuta ya dunia, Sasa nimeyaacha nautafuta upendo usionitupa right here.....RIP LEGENDARIESbeat lake zuri na ubunifu wake unanikosha
 
Nimemiss sana maeneo, nipo chaka Dah hadi nirudi mjini nitakua mwekundu kwa tope
 
safari sio kifo haichuji kwenye masikio yanguAsante mujwahuki Juliana unajua Uganda nzima na east Africa kwa ujumla sioni mwanamke wa kukufikia
 
Kwanini hizo picha ume screenshot? tena leo leo kasoro ile ya jagi na ndizi ndio umepiga kwa camera yako?

Just curious no hard feelings.

Btw, kwanini usinunue diary na kuandika kila kitu chako au uka download kwa simu yako au pc yako?
 
Kwanini hizo picha ume screenshot? tena leo leo kasoro ile ya jagi na ndizi ndio umepiga kwa camera yako?

Just curious no hard feelings.

Btw, kwanini usinunue diary na kuandika kila kitu chako au uka download kwa simu yako au pc yako?
Diary inaweza kupotea lakini nikiingiza katika mfumo wa Jf nadhani data zitakaa muda mrefu Kama sio milele.lakini diary Ina last mwaka mmoja tu..
 
Hivi Sasa ni tisa kamili usiku ninazo option tatu ya vitu vya kufanya
-tuanze kwa kuangalia movie
-tufanye yoga poses kidogo angalau dakika 10
-tusome Bible na Kisha vitabu vingine
 
Nahofia sana watu wanaomtaja taja Mungu kwa kila sentensi. Tumeona mifano mingi miaka hasa kumi na ushee iliyopita.
Wahenga hatukuzoea kusikia kila kitu kinaanza na shukrani kwa Mungu maana yeye ni wako tu. Mara nyingi nyinyi ni attention seeker if not ni wale msiojulikana.
 
Fragaria umeona banana

Rule no.1.........?
 
Hivi sasa Ni saa 12 asubuhi.baada ya kupata kikombe Cha maziwa inatosha kabisa kufanya asubuhi iende vizuri ila saa nne itabidi nile kitu.mimi nafikiria kiumbe yoyote ili a survive anatakiwa acheze ndani ya boundaries zake ndo maana tunapinga kwa nguvu zote matumizi ya pombe,sigara na bangi kwa sababu yote haya siyo mahitaji muhimu kwa afya zetu.ecology haitaki tutumie hivi vitu.ndo maana tunaongeza umakini katika kutumia vyakula Bora nakuacha mambo yote yaletayo matatizo
 
Kuhusu kufunga
Mimi naamini Kama kufunga Ni ibada Basi ni ibada ndogo sana.nachofikiri mwanadamu anatakiwa asifunge Bali ibada kubwa na njema Ni yeye kula chakula sahihi.kwa sababu hata maskini anaweza kufunga kumbe sababu Ni kukosa chakula yaani hana pesa ya kununua chakula so anaamua kufunga.mimi nafikiria Sasa hivi Kuwa tunapaswa tule chakula sahihi Hilo ndilo Jambo la muhimu zaidi.dunia nzima tunasomesha wataalam wa lishe kwa sababu tunathamini umuhimu wa lishe Bora so Mimi sipendelei kufunga isipokuwa najihamasisha Nile chakula changu sahihi na kwa kiasi kidogo.
 
I like the idea...wengine huandika ktk dayari lengo ni lilelile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…