IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
Saaaaafi umeongea anakadiria mradi tu kuku maliza basi.Kweli wanadanganyana ila ni vizuri pia kutoa suluhisho kwa kuwaelekeza
Lakini Kuna hili la Tra kukurupuka na kujidai wanajua thamani ya kila kitu, naamnini unalijua hilo maana kwenye post yako unasema kama angeagiza machine kubwa tra wasingejisumbua kuangalia thamani yake kwenye simu! , kiufupi una maan kuwa Tra wangemzingua kwa kukadiria kodi isiyolipika ,
kwa hili njia pekee ni wafanya biashara kulalamika kwa Tra ili kusudi kodi ziwe zinalipika,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio naagiza kupitia app yao na mizigo inawasili safi kupitia postaMkuu hua unaitumia Ali expres app kuagiza
god is good
Ungelifumbua ili fumbo tungejua tu mbili ni nani na jamaa ni nani kati ya TRA na sie wananchKuna jamaa alikuwa na shamba lake akipanda mahindi kila mwaka na tumbili huwa wakiingia shambani mwake kila kunapokuwa na mahindi na akiwafukuza akiwaona. Mwenye shamba akaugua akafa na wale tumbili walifurahi sana wakijua sasa ni free kuingia shambani. Mwaka ukaanza wakati wa mahindi ukafika lakini shamba lilikuwa tupu, tumbili wale walisikitika sana na kutambua kuwa shamba halikulimwa kwa sababu mlimaji alifariki.
Mkuu suala la kodi kwa ujumla ni "professional " kama ilivyo sheria na nyinginezo sasa wakati mwingine mtu anapata shida na kulingana na suala la muda kuanza kukuelekeza kuanzia mwanzo mpaka mwisho mfano ili upate bei ya bidhaa kwa ajili ya kodi kuna vitu vingi vinahusishwa kama invoice value, freight , and insurance if any na vyote hivyo vinachanjiwa kwa percentage zake hivyo kama wew ni mfanyabiashara au unaagiza vitu mara kwa mara na unaengage revunue authority bas tafuta mtu akupe elimu ya kodi itakusaidia na sio kutegemea kupewa ufahamu kwenye clearance desk( Otherwise we clearing agent we work on your behalf).Hongera sana kwa kupambana na hao wezi...sijajua kwann TRA haina uwazi kila mtu awe huru kujua anachochajiwa mwenyewe.
Ukienda TRA pona pona yako inategemea na mtu utakaye mkuta na kaamkaje siku iyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumbili mtoza Kodi. Anamkamua mfanyabiashara hadi biashara inakufa matokeo yake hapati tena hio kodiUngelifumbua ili fumbo tungejua tu mbili ni nani na jamaa ni nani kati ya TRA na sie wananch
nakupa theories za kodi?Sawa dada, naona unatupa theories za kodi hapo. Vipi ushapata ajira TRA?
Ndio na
Ndio naagiza kupitia app yao na mizigo inawasili safi kupitia posta
Malipo mi natumia Voda kwaiyo nalipa kupitia mpesa master card naskia tigo na Airtel nao wanazo aina aja kadi ya bank wamerahisisha kwa mtindo huoAhsantee na malipo unafanya na banking au njia
Gani unatumia mkuu
god is good
Kwaiyo mkuu vipi jamaa alikua sahihi kitu cha elfu 5 nilipie kodi elf 35000 ?!??!!sasa kumbe hii thread ni ya theories za nini, michezo?
don't be ridiculous.
ushuru wa forodha Tanzania haupimwi kwa bei uliyonunulia
Unapimwa na bei ya soko la Tanzania kwa lenzi ya TRA
Elfu tano mbona nyingi, hata bure ungeipata bado ungethaminishwa bei ya soko!Kwaiyo mkuu vipi jamaa alikua sahihi kitu cha elfu 5 nilipie kodi elf 35000 ?!??!!
aise basi kazi njema hapo Tanzania revenue authority piga kazi.Elfu tano mbona nyingi, hata bure ungezipata bado ungethaminishwa bei ya soko!
eti kitu cha elfu tano, elfu tano wapi ????
hapa Tanzania hicho cherehani hakiuzwi elfu tano!
ushuru unapimwa na thamani ya mali IKIWA MTAANI TANZANIA!
Ulaya wanatupa nje TV na computer zilizotumika
Ukikusanya TV zilizotupwa pembeni ya barabara Ulaya ukazileta, TRA Customs hawatakuachia uzipitishe bure eti kwa vile umezipata bure!
Ni vema kuelewa taratibu za kisheria za Tanzania za ushuru wa forodha.
Sawa dada, naona unatupa theories za kodi hapo. Vipi ushapata ajira TRA?
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa kumbe hii thread ni ya theories za nini, michezo?
don't be ridiculous.
ushuru wa forodha Tanzania haupimwi kwa bei uliyonunulia
Unapimwa na bei ya soko la Tanzania kwa lenzi ya TRA
Ni vema kuelewa taratibu za kisheria za Tanzania za ushuru wa forodha.
Ukweli ulio hai kwa system iyo lazima ufunge biashara ukinunua kitu lazima ulipe chini ya pesa ulionunulia sasa kitu EF 50 ulipe kodi elf 90 hapa lazma uone biashara ngumu na unafunga kabisa ajabu Mdau mmoja anasapoti wizi Wa wazi wazi.Muwe mna utaratibu kuzipitia na ku update taratibu zenu, ili ziendane na wakati, sheria zenu nyingi zimepitwa na wakati na zinafanya watu wengi wakwepe kodi mana hazilipiki.kwa uonevu
Enzi hizi za wire transferbado mnahangaika na ku uplift value wakati mna uwezo wa Hadi kufatilia zilitumwa kiasi gani kununua item hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
"Enzi hizi za wire transfer"Enzi hizi za wire transferbado mnahangaika na ku uplift value wakati mna uwezo wa Hadi kufatilia zilitumwa kiasi gani kununua item hiyo
calculator ya Tra kwenye kodi za gari za Subaru sikumbuki model number , calculator ya Tra ilikuwa unasema kodi ya gari hilo ni milion 20, wakati bei ya manunuzi na usafiri haizid milion tano