Uzi Maalum wa maswali na masuala mbalimbali yahusuyo Kodi, ushuru na masuala mengine yanayowahusu TRA

Kodi huwa ni 18% ya bidhaa, wakikuovercharge basi umejitakia mwenyewe.
Hivi TRA hawana akaunti hapa jamiiforums?
Asante mkuu ikabid nifatilie sasa nimeelewa na sitosumbuka nikiagixa mzigo napiga calculation zangu najua nalipa shngapi kwa 18%
Screenshot_2020-04-02-07-26-55.png
 
mnadanganyana

kwanza kodi sio VAT peke yake

pili thamani ya kitu sio bei uliyonunulia

ndio maana hata ukipewa bure bado utalipishwa kwa vile thamani yakr sio sifuri kwa sababu eti umepewa bure

tena ukipewa bure au kwa bei ya kutupa ndio utalimwa excise duty ya kutupa takataka, au dumping fee, maana Afrika haitaki kuwa tabata dampo la dunia

thamani ya kitu hapa Tanzania inapangwa na TRA

hicho kiji mashine TRA waliona wasipoteze muda kukithaminisha maana hakina demand, hakijulikani, hakitumiwi hapa nchini, wakakupetesha

lete mashine la kushoma magunia uone kama watacheki thamani yake kwenye simu yako...
 
Sawa dada, naona unatupa theories za kodi hapo. Vipi ushapata ajira TRA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kodi huwa ni 18% ya bidhaa, wakikuovercharge basi umejitakia mwenyewe.
Hivi TRA hawana akaunti hapa jamiiforums?
Muwe mnafanya na utafiti kidogo, asilimia 18 ni vat , kwa baadhi ya vitu vinachajiwa vat pekee, , Kuna vitu vingine vina kodi +vat vingine ni kodi tupu bila vat

Yote kwa yote ni muhimu kujua unanunua nini na kodi yake ni kiasi gani kulingana na jedwali la kodi la Tra.

Kwani kodi na vat Kuna tofauti. Au ni utofauti wa Lugha tu. Naona unazingua hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muwe mnafanya na utafiti kidogo, asilimia 18 ni vat , kwa baadhi ya vitu vinachajiwa vat pekee, , Kuna vitu vingine vina kodi +vat vingine ni kodi tupu bila vat

Yote kwa yote ni muhimu kujua unanunua nini na kodi yake ni kiasi gani kulingana na jedwali la kodi la Tra.

Sent using Jamii Forums mobile app
Embu fafanua maana ya Kodi na VAT( value added tax) Kodi ya ongezeko la thamani. Mana sijakuelewa . Kodi na VAT nimegundua linachanganya wengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnadanganyana

kwanza kodi sio VAT peke yake

pili thamani ya kitu sio bei uliyonunulia

ndio maana hata ukipewa bure bado utalipishwa kwa vile thamani yakr sio sifuri kwa sababu eti umepewa bure

tena ukipewa bure au kwa bei ya kutupa ndio utalimwa excise duty ya kutupa takataka, au dumping fee, maana Afrika haitaki kuwa tabata dampo la dunia

thamani ya kitu hapa Tanzania inapangwa na TRA

hicho kiji mashine TRA waliona wasipoteze muda kukithaminisha maana hakina demand, hakijulikani, hakitumiwi hapa nchini, wakakupetesha

lete mashine la kushoma magunia uone kama watacheki thamani yake kwenye simu yako...
Kweli wanadanganyana ila ni vizuri pia kutoa suluhisho kwa kuwaelekeza

Lakini Kuna hili la Tra kukurupuka na kujidai wanajua thamani ya kila kitu, naamnini unalijua hilo maana kwenye post yako unasema kama angeagiza machine kubwa tra wasingejisumbua kuangalia thamani yake kwenye simu! , kiufupi una maan kuwa Tra wangemzingua kwa kukadiria kodi isiyolipika ,

kwa hili njia pekee ni wafanya biashara kulalamika kwa Tra ili kusudi kodi ziwe zinalipika,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Embu fafanua maana ya Kodi na VAT( value added tax) Kodi ya ongezeko la thamani. Mana sijakuelewa . Kodi na VAT nimegundua linachanganya wengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole japo sio mtaalamu sana , ila kodi kama kodi ina majina mengi sana , exercise duty, import duty na kadhalika, , vat however ni kodi ya mwisho kuchajiwa baada ya kodi zingine kuchajiwa

Here is a trick, Kuna items hazichajiwi kodi yoyote bali Vat pekee, kuna items zinachajiwa aina flani ya kodi pamoja na Vat, Kuna items zinachajiwa kodi tu bila Vat .nk

Ili kujua kitu gani kinachajiwa kiasi gani na Tra , ni vema kuangalia jedwali la kodi , kuna kila kitu hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa alikuwa na shamba lake akipanda mahindi kila mwaka na tumbili huwa wakiingia shambani mwake kila kunapokuwa na mahindi na akiwafukuza akiwaona. Mwenye shamba akaugua akafa na wale tumbili walifurahi sana wakijua sasa ni free kuingia shambani. Mwaka ukaanza wakati wa mahindi ukafika lakini shamba lilikuwa tupu, tumbili wale walisikitika sana na kutambua kuwa shamba halikulimwa kwa sababu mlimaji alifariki.
 
mnadanganyana

kwanza kodi sio VAT peke yake

pili thamani ya kitu sio bei uliyonunulia

ndio maana hata ukipewa bure bado utalipishwa kwa vile thamani yakr sio sifuri kwa sababu eti umepewa bure

tena ukipewa bure au kwa bei ya kutupa ndio utalimwa excise duty ya kutupa takataka, au dumping fee, maana Afrika haitaki kuwa tabata dampo la dunia

thamani ya kitu hapa Tanzania inapangwa na TRA

hicho kiji mashine TRA waliona wasipoteze muda kukithaminisha maana hakina demand, hakijulikani, hakitumiwi hapa nchini, wakakupetesha

lete mashine la kushoma magunia uone kama watacheki thamani yake kwenye simu yako...
Hiyo excise duty inatozwa kiasi gani? Fafanua watu waelewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kodi huwa ni 18% ya bidhaa, wakikuovercharge basi umejitakia mwenyewe.
Hivi TRA hawana akaunti hapa jamiiforums?
18
Asante mkuu ikabid nifatilie sasa nimeelewa na sitosumbuka nikiagixa mzigo napiga calculation zangu najua nalipa shngapi kView attachment 1406440
18% ni VAT...kuna import duty na excise duty kama ukiingiza mzigo unalipa hizo. % zinatofautiana kulingana na aina ya mzigo
 
Bado sijakuelewa vizuri Yani.
Pole japo sio mtaalamu sana , ila kodi kama kodi ina majina mengi sana , exercise duty, import duty na kadhalika, , vat however ni kodi ya mwisho kuchajiwa baada ya kodi zingine kuchajiwa

Here is a trick, Kuna items hazichajiwi kodi yoyote bali Vat pekee, kuna items zinachajiwa aina flani ya kodi pamoja na Vat, Kuna items zinachajiwa kodi tu bila Vat .nk

Ili kujua kitu gani kinachajiwa kiasi gani na Tra , ni vema kuangalia jedwali la kodi , kuna kila kitu hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Me sielewi kitu kuhusu Kodi . Lakini nahisi Kuna uongo hapo . VAT na KODI mbona unajichanganya . Au na wewe umeguswa na zile ajira million 12

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado sijakuelewa vizuri Yani.Me sielewi kitu kuhusu Kodi . Lakini nahisi Kuna uongo hapo . VAT na KODI mbona unajichanganya . Au na wewe umeguswa na zile ajira million 12

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani umewahi hata kufanya biashara? Mbona natumia misamiati rahisi sana unakwama wapi, ? Vat ni aina mojawapo ya kodi, inaweza ikatozwa pekee au wakati mwingine ikaambatanishwa na kodi nyingine, na kuna wakati haitozwi kabisa kwa bidhaa kama mafuta ye magari,

Sikuelewi unaposema nimeguswa na ajira mil12 , tokea nimepata akili sijawahi kuajiriwa na kwa umri wangu wa machweo nadhan haitakuja kutokea kuajiriwa tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom