Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
Kodi huwa ni 18% ya bidhaa, wakikuovercharge basi umejitakia mwenyewe.
Hivi TRA hawana akaunti hapa jamiiforums?
Hivi TRA hawana akaunti hapa jamiiforums?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu ikabid nifatilie sasa nimeelewa na sitosumbuka nikiagixa mzigo napiga calculation zangu najua nalipa shngapi kwa 18%Kodi huwa ni 18% ya bidhaa, wakikuovercharge basi umejitakia mwenyewe.
Hivi TRA hawana akaunti hapa jamiiforums?
Ikumbukwe pia kuna bidhaa ambazo hazitozwi kodi mfano pembejeo za kilimo na mashine za kilimo.Asante mkuu ikabid nifatilie sasa nimeelewa na sitosumbuka nikiagixa mzigo napiga calculation zangu najua nalipa shngapi kwa 18%View attachment 1406440
Sawa dada, naona unatupa theories za kodi hapo. Vipi ushapata ajira TRA?mnadanganyana
kwanza kodi sio VAT peke yake
pili thamani ya kitu sio bei uliyonunulia
ndio maana hata ukipewa bure bado utalipishwa kwa vile thamani yakr sio sifuri kwa sababu eti umepewa bure
tena ukipewa bure au kwa bei ya kutupa ndio utalimwa excise duty ya kutupa takataka, au dumping fee, maana Afrika haitaki kuwa tabata dampo la dunia
thamani ya kitu hapa Tanzania inapangwa na TRA
hicho kiji mashine TRA waliona wasipoteze muda kukithaminisha maana hakina demand, hakijulikani, hakitumiwi hapa nchini, wakakupetesha
lete mashine la kushoma magunia uone kama watacheki thamani yake kwenye simu yako...
Muwe mnafanya na utafiti kidogo, asilimia 18 ni vat , kwa baadhi ya vitu vinachajiwa vat pekee, , Kuna vitu vingine vina kodi +vat vingine ni kodi tupu bila vatKodi huwa ni 18% ya bidhaa, wakikuovercharge basi umejitakia mwenyewe.
Hivi TRA hawana akaunti hapa jamiiforums?
Kwani kodi na vat Kuna tofauti. Au ni utofauti wa Lugha tu. Naona unazingua hapoMuwe mnafanya na utafiti kidogo, asilimia 18 ni vat , kwa baadhi ya vitu vinachajiwa vat pekee, , Kuna vitu vingine vina kodi +vat vingine ni kodi tupu bila vat
Yote kwa yote ni muhimu kujua unanunua nini na kodi yake ni kiasi gani kulingana na jedwali la kodi la Tra.
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu fafanua maana ya Kodi na VAT( value added tax) Kodi ya ongezeko la thamani. Mana sijakuelewa . Kodi na VAT nimegundua linachanganya wengi sana.Muwe mnafanya na utafiti kidogo, asilimia 18 ni vat , kwa baadhi ya vitu vinachajiwa vat pekee, , Kuna vitu vingine vina kodi +vat vingine ni kodi tupu bila vat
Yote kwa yote ni muhimu kujua unanunua nini na kodi yake ni kiasi gani kulingana na jedwali la kodi la Tra.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wanadanganyana ila ni vizuri pia kutoa suluhisho kwa kuwaelekezamnadanganyana
kwanza kodi sio VAT peke yake
pili thamani ya kitu sio bei uliyonunulia
ndio maana hata ukipewa bure bado utalipishwa kwa vile thamani yakr sio sifuri kwa sababu eti umepewa bure
tena ukipewa bure au kwa bei ya kutupa ndio utalimwa excise duty ya kutupa takataka, au dumping fee, maana Afrika haitaki kuwa tabata dampo la dunia
thamani ya kitu hapa Tanzania inapangwa na TRA
hicho kiji mashine TRA waliona wasipoteze muda kukithaminisha maana hakina demand, hakijulikani, hakitumiwi hapa nchini, wakakupetesha
lete mashine la kushoma magunia uone kama watacheki thamani yake kwenye simu yako...
Pole japo sio mtaalamu sana , ila kodi kama kodi ina majina mengi sana , exercise duty, import duty na kadhalika, , vat however ni kodi ya mwisho kuchajiwa baada ya kodi zingine kuchajiwaEmbu fafanua maana ya Kodi na VAT( value added tax) Kodi ya ongezeko la thamani. Mana sijakuelewa . Kodi na VAT nimegundua linachanganya wengi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo excise duty inatozwa kiasi gani? Fafanua watu waelewemnadanganyana
kwanza kodi sio VAT peke yake
pili thamani ya kitu sio bei uliyonunulia
ndio maana hata ukipewa bure bado utalipishwa kwa vile thamani yakr sio sifuri kwa sababu eti umepewa bure
tena ukipewa bure au kwa bei ya kutupa ndio utalimwa excise duty ya kutupa takataka, au dumping fee, maana Afrika haitaki kuwa tabata dampo la dunia
thamani ya kitu hapa Tanzania inapangwa na TRA
hicho kiji mashine TRA waliona wasipoteze muda kukithaminisha maana hakina demand, hakijulikani, hakitumiwi hapa nchini, wakakupetesha
lete mashine la kushoma magunia uone kama watacheki thamani yake kwenye simu yako...
18Kodi huwa ni 18% ya bidhaa, wakikuovercharge basi umejitakia mwenyewe.
Hivi TRA hawana akaunti hapa jamiiforums?
18% ni VAT...kuna import duty na excise duty kama ukiingiza mzigo unalipa hizo. % zinatofautiana kulingana na aina ya mzigoAsante mkuu ikabid nifatilie sasa nimeelewa na sitosumbuka nikiagixa mzigo napiga calculation zangu najua nalipa shngapi kView attachment 1406440
Me sielewi kitu kuhusu Kodi . Lakini nahisi Kuna uongo hapo . VAT na KODI mbona unajichanganya . Au na wewe umeguswa na zile ajira million 12Pole japo sio mtaalamu sana , ila kodi kama kodi ina majina mengi sana , exercise duty, import duty na kadhalika, , vat however ni kodi ya mwisho kuchajiwa baada ya kodi zingine kuchajiwa
Here is a trick, Kuna items hazichajiwi kodi yoyote bali Vat pekee, kuna items zinachajiwa aina flani ya kodi pamoja na Vat, Kuna items zinachajiwa kodi tu bila Vat .nk
Ili kujua kitu gani kinachajiwa kiasi gani na Tra , ni vema kuangalia jedwali la kodi , kuna kila kitu hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani umewahi hata kufanya biashara? Mbona natumia misamiati rahisi sana unakwama wapi, ? Vat ni aina mojawapo ya kodi, inaweza ikatozwa pekee au wakati mwingine ikaambatanishwa na kodi nyingine, na kuna wakati haitozwi kabisa kwa bidhaa kama mafuta ye magari,Bado sijakuelewa vizuri Yani.Me sielewi kitu kuhusu Kodi . Lakini nahisi Kuna uongo hapo . VAT na KODI mbona unajichanganya . Au na wewe umeguswa na zile ajira million 12
Sent using Jamii Forums mobile app