Uzi Maalum wa maswali na masuala mbalimbali yahusuyo Kodi, ushuru na masuala mengine yanayowahusu TRA

Mbona mimi jana nimeweka mafuta full tank hapohapo kituo cha oil com buguruni na nimepewa risiti na sio mara moja kila mara naweka hapo maana mimi naishi karibu hapo risiti wanatoa sana tu labda wewe una.
 
kuna hotel nyingi za kula wasafiri kuanzia moro hadi shinyanga huwa pia hawatoi risiti
 
Nimecheka sana baada ya kusoma salamu uliyoitumia, nikakumbuka ule uzi wa Wanadini na roho mbaya!!! Sijui hata kwann nimeread between the lines
 
Excuse me,
Oil Com kwa pale Buguruni Malapa ipo sehemu gani?
 
Una kichaa, wakitoa risiti ndio maisha ya nyumbani kwako yanabadilika. Wahaya mbona mnazidi kuwa hovyo! Ua wewe ni ndugu na bashiru!
 
Kituo kilichopo Buguruni Malapa kinaitwa Lake Oil..hivi mtu na akili zako timamu unaenda vipi kujaza mafuta kwenye kituo kinachouza mafuta bei ya chini? Yani ukijaza hapo 25 litres utatembea kilomita chache sana tofsuti na ukijaza 25 Litres kwenye vituo vingine
 
Mzalendo Safi Sana, Unafaa
Mimi Ndiyo Amiri Jeshi Lazima Nitoe Amri
 
Sasa anatakiwa awaombe radhi OIL COM na abadili hapo juu sababu mafuta kaweka LAKE OIL shutma wameshushiwa Oil com....
 
Lakini mbona pengine pengii ni 0 VAT au shida ni risiti ya mashine .
 
MIMI NAKUPONGEZA KWA KUWEKA WAZI WEZI WA KODI ZETU. TUWACHORE TU HAMNA KUFICHA


 
Hakuna kituo kisichotoa risiti. Ukiona hawatoi jua tayari TRA wana taarifa
 
Kituo cha mafuta kilichoko Buguruni Mslapa ni cha Lake Oili na si Oilcom, rekebisha hilo. Kituo cha Oilcom kiko Buguruni/Mandela kwenye mataa
 
TRA tunaomba mtusaidie ukishamaliza kujisajili kwa ajili ya "TRA CUSTOMS ONLINE AUCTION" na kuingia katika page ya "Goods on Auction" hatuoni list ya vitu na badala yake kuna ujumbe unasema "No data found".

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…