Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Raum mil 85? ikifika nyumbani inageuka ugali au kibumbu
Sasa mkuu wewe ulikuwepo kabisa kwa wahusika muhimu wanaojua haukuwauliza alafu unauliza huku ? ila nadhani kwa kuwaandikia barua officially wanaweza wakawasiliana information zako zikawa transfered from point A to B
Pia ingawa TIN ni moja ila biashara hata kama ni branch au nyongeza ya biashara nyingine inakuwa na certificate yake.., kwahio kama una biashara nyingine mkoa mwingine na hii mkoa mwingine utapewa certificate mbili zenye namba moja ila location tofauti.., kama ulifunga ile biashara ya kule itabidi / ilibidi uwaandikie barua ya kuacha kufanya biashara ili waache kuhesabu madai.., unless otherwise mpaka kesho wataendelea kukudai
Naona alidhani Landcruiser V8Watanzania tuacheni roho ya kubania. Jana nilishiriki mnada wa magari wa tra online. Nilikuwa nataka noah town ace. Wanunuzi tulikuwa wanne, muda wa marejuhi akaibuka mmoja eti ame-bid noah kwa tshs 57,000,000/= wkt bei elekezi ya tra ilianzia tshs 4,500,000/= mie nilifika mpk tshs 550,000/= ilikuwa niichukue sema akaibuka huyo "dr shika" wa mtandaoni kuvurugia tu watu mingo zao. Haya sasa kalipie sasa hiyo 57M kwa noah used. View attachment 1368589View attachment 1368590
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilipata taarifa kwa njia ya sms toka tra. Nikajua wananchi wengi watakuwa wamepata hizo taarifa..We mwenyewe ulitubania mbona hujaleta taarifa za huo mnada hapa mapema ili tunufaike wote mura
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ishakula kwake sasa.Atakua alikosea uyo. Nia yake aandike 5.7
Nilipanda mpk 6M. Ila ikawa inakataliwa, kuja kuangalia bei current nikaona hiyo tshs 57,000,000/= nikachoka kabisa..Alikosea akaandika 5.7.
Wewe ungekuja na 5.8 ungepata.
Lakini pia hiyo 4.5 ni starting na wala siyo mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kunakuwa na kiingilio kabla ya kubid au ni kichaa yeyote anaweza kusign up na kubidNilipanda mpk 6M. Ila ikawa inakataliwa, kuja kuangalia bei current nikaona hiyo tshs 57,000,000/= nikachoka kabisa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuwa na umakini alikuwa fasta sasa ameharibu mnadaAlikosea akaandika 5.7.
Wewe ungekuja na 5.8 ungepata.
Lakini pia hiyo 4.5 ni starting na wala siyo mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app