Uzi Maalum wa maswali na masuala mbalimbali yahusuyo Kodi, ushuru na masuala mengine yanayowahusu TRA

Uzi Maalum wa maswali na masuala mbalimbali yahusuyo Kodi, ushuru na masuala mengine yanayowahusu TRA

Naomba kuuliza kama una TIN na unataka kujua TRA wanakudai kiasi gani unaweza kujua kupitia WEB yao au mpaka uende ofisini kwao?
 
Katika manada unaoendelea kuna wadau wanaweka Bid Price ambazo hazina uhalisia. Nadhani TRA wangekuwa na Closing Price. Kwa sasa wana Starting Price tu. Angalia hizi picha uone hizo Highest Bid Prices zilizowekwa na wadau🙂🙂.
FunCargo.JPG
Hiace.JPG
Raum.JPG
Vitz.JPG
 
Duh

Wanayo TIN n.k.
Itabidi waulize walioweka hizo bei au wafute
 
Noted, thanks
Sasa mkuu wewe ulikuwepo kabisa kwa wahusika muhimu wanaojua haukuwauliza alafu unauliza huku ? ila nadhani kwa kuwaandikia barua officially wanaweza wakawasiliana information zako zikawa transfered from point A to B

Pia ingawa TIN ni moja ila biashara hata kama ni branch au nyongeza ya biashara nyingine inakuwa na certificate yake.., kwahio kama una biashara nyingine mkoa mwingine na hii mkoa mwingine utapewa certificate mbili zenye namba moja ila location tofauti.., kama ulifunga ile biashara ya kule itabidi / ilibidi uwaandikie barua ya kuacha kufanya biashara ili waache kuhesabu madai.., unless otherwise mpaka kesho wataendelea kukudai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tuacheni roho ya kubania. Jana nilishiriki mnada wa magari wa TRA online. Nilikuwa nataka Noah Town Ace. Wanunuzi tulikuwa wanne, muda wa marejuhi akaibuka mmoja eti ame-bid Noah kwa Tshs 57,000,000/= wakati bei elekezi ya TRA ilianzia Tshs 4,500,000/= Mie nilifika mpaka Tshs 5,550,000/= ilikuwa niichukue sema akaibuka huyo "Dr shika" wa mtandaoni kuvurugia tu watu mingo zao. Haya sasa kalipie sasa hiyo 57M kwa Noah used.

Screenshot_20200225-000110_Chrome.jpeg
Screenshot_20200225-000123_Chrome.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tuacheni roho ya kubania. Jana nilishiriki mnada wa magari wa tra online. Nilikuwa nataka noah town ace. Wanunuzi tulikuwa wanne, muda wa marejuhi akaibuka mmoja eti ame-bid noah kwa tshs 57,000,000/= wkt bei elekezi ya tra ilianzia tshs 4,500,000/= mie nilifika mpk tshs 550,000/= ilikuwa niichukue sema akaibuka huyo "dr shika" wa mtandaoni kuvurugia tu watu mingo zao. Haya sasa kalipie sasa hiyo 57M kwa noah used. View attachment 1368589View attachment 1368590

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona alidhani Landcruiser V8
 
Back
Top Bottom