ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,236
- 2,142
Watanzania tuacheni roho ya kubania. Jana nilishiriki mnada wa magari wa TRA online. Nilikuwa nataka Noah Town Ace. Wanunuzi tulikuwa wanne, muda wa marejuhi akaibuka mmoja eti ame-bid Noah kwa Tshs 57,000,000/= wakati bei elekezi ya TRA ilianzia Tshs 4,500,000/= Mie nilifika mpaka Tshs 550,000/= ilikuwa niichukue sema akaibuka huyo "Dr shika" wa mtandaoni kuvurugia tu watu mingo zao. Haya sasa kalipie sasa hiyo 57M kwa Noah used.
Sent using Jamii Forums mobile app
5.5M mkuu.. [emoji85][emoji85]Kwa hiyo bei ya laki 5 hata kisado cha nyanya kwa sasa hupati mkuu...wewe ndiye ulivuruga mnada
Hizo ni clerical error bro wala usikomae sana....Kiingilio ni TIN namba yako na taarifa zako rasmi kupitia Kitambulisho chako cha NIDA. Kwa Ufupi huyo jamaa lazima ailipe tu maaana TRA wakifunga Mnada tayari TIN NAMBA yako inasukumiwa lile deni kama lilivyo hata ujifiche miaka 10 ngoma iko pale pale, kwa kifupi jamaa wanakupiga BAN usipolipa na Utashitakiwa kwa kuvuruga mnada wao.
Kiingilio ni TIN namba yako na taarifa zako rasmi kupitia Kitambulisho chako cha NIDA. Kwa Ufupi huyo jamaa lazima ailipe tu maaana TRA wakifunga Mnada tayari TIN NAMBA yako inasukumiwa lile deni kama lilivyo hata ujifiche miaka 10 ngoma iko pale pale, kwa kifupi jamaa wanakupiga BAN usipolipa na Utashitakiwa kwa kuvuruga mnada wao.
Basi na TRA KADI NALO N SHIDA MKUUUsipende kumlaumu mtu pasipokujua mazingira yake ya kazi yakoje!! Tatizo mifumo ya serikali mingi haingiliani, Kadi ya NIDA mtu wa TRA hawezi kuverify kama ni Og, kama watu wanatengeneza vyeti feki vya Academics na vinakubaliwa katika mamlaka za umma ndo ujue kuwa watu ni wajanja sana
Mwandiko kama wa Pdidy.
Nimetumia nguvu nyingi sana kuelewa andiko.
Mamlaka husika zifuatilie suala hili. Bongo ujanja ujanja tu.
-Kaveli-
Wamekutanaa awenyewe kw a wenyeewee ukisikia VID JAMAA katajaa lyimo marandu MOSHA WANATAKA kumpigaa kwikwi ashukuruu molaaa ajakutanaa na kina MASSAWE..MOSHI/LYERUU NK WE ANGEZAA MAPACHAWachagga kwa utapeli hamjambo kabisa
Hahaaa mpwaaa umehisii kituulichpkiona uwiii hayooumeyapatwapiisaaaa kwikwiMkuu nakupa pole kwanza, lakini huu mwandiko niwe mkweli tu sijaelewa zaidi ya kuhisia tu kuwa kuna gari limeibiwa na mwenye mali alipoenda polis wamemtaka rushwa, kwa TRA nimetoka kapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ukakuta Mashine za Barcorde scanner zipo chache sana katika maofisi ya Umma haswa TRA hapo ni Dar kwenye uso wa nchi je mikoani huko hali ikojeBasi na TRA KADI NALO N SHIDA MKUU
BASI TUKO KATIKA HALI.MBAYA KAMA.ATUWEZI JUA KADI YA TRA N FEKI.AMA.ORIGIN
Babaaaaa swalii languu kuuuu kwa Dada roseUnaweza ukakuta Mashine za Barcorde scanner zipo chache sana katika maofisi ya Umma haswa TRA hapo ni Dar kwenye uso wa nchi je mikoani huko hali ikoje