Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,973
- 6,750
Habari za wakati huu;
Ni mara chache sana watu hupata nafasi ya kujifunza kutoka kwa watu ambao biashara zao zilifilisika au kuanguka kabisa.Biashara ndogo kubwa na za kati.Hi ni tofauti na ukweli wa kitakwimu unaoonesha kwamba asilimia kubwa za biashara hufa ndani ya mwaka wa kwanza.
Nimeleta Uzi huu ili tupeane simulizi za biashara ambazo tumewahi kuanzisha,zikaanguka na chanzo kikubwa cha kuanguka kwamba biashara husika.
Karibu tupeane uzoefu.Unaweza kusimulia biashara yako au biashara yoyote unayoifahamu ila watu wajifunze kwa kuangalia changamoto zinazojirudia rudia na kupelekea biashara kuanguka.
Karibu