Daa
Niliandaa heka 70 za zao la korosho mbegu fupi, kila huduma ya shambani kuanzia dawa za wadudu, ukungu na mambo mengine.
Zilistawi sana na zilianza kutoa Maua.
Bwanaweeeee, nikapigiwa simu kuwa Kijiji kimevamiwa na wanyama aina ya Tembo pia wamekula mashamba mengi.
Nilitamani kulia kwa jinsi walivyoteketeza hekq zote kwa usiku mmoja.
Tembo ni shidaa
Karibuni Manyoni Barabara ya Heka uone balaa la Tembo