Pre GE2025 Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Wakuu,

Wabunge wameshaanza maigizo na mazingaombwe kuelekea uchaguzi mkuu 2025, wengine wanapanda baskeli, wengine wanaenda kula kwa mama ntilie, wengine wanapaki viete na kuingia na maguta, wengine wanakuwa majinjia ghala na kuanza kuendesha mitambo.

Yaani ni hekaheka, patashika nguo kuchanyika.

Tupia vimbwanga vyao hapa tupate risiti Uchaguzi Mkuu ukifika.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 27

Baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 27, 2024

===

Ahadi za kununua vitu, kukabidhi vitu katika makundi mbalimbali na kutoa zawadi/Rushwa
MWAKA 2025

JANUARI

FEBRUARI
Machi
=====

Wananchi/wanasiasa/kada nyingine kujipendekeza kwa Rais

MWAKA 2025

JANUARI

FEBRUARI
Machi
====

Kujichanganya na wananchi wa hali ya chini/kushiriki katika shughuli mbalimbali za wananchi
MWAKA 2025

Januari

Februari
Machi
=====

Siasa na matamko sehemu za dini pamoja na matamko ya viongozi wa dini (kanisani na misikitini na shughuli za kidini kwa ujumla)

2025

JANUARI
FEBRUARI
Machi
=====

Mengineyo
MWAKA 2025

JANUARI

FEBRUARI
Machi
===

Nikiwa natokea shambani, maghrib imenikuta maeneo ya Mikumi, nikasimama kupata maghrib na ifta...jpg

Kingwangalla akipata futari ya afmbilii miatano (2500) kwa mama ntilie maeneo ya Mikumi
 
Attachments

  • Pushups Challenge in RUANGWA#Simba Yuko Imara Kila Idara #RuangwaMarathon.mp4
    23 MB
  • Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Dk Charles Kitima amewaita mbele ya...mp4
    5.9 MB
Wakuu,

Wabunge wameshaanza maigizo na mazingaombwe kuelekea uchaguzi mkuu 2025, wengine wanapanda baskeli, wengine wanaenda kula kwa mama ntilie, wengine wanapaki viete na kuingia na maguta, wengine wanakuwa majinjia ghala na kuanza kuendesha mitambo.

Yaani ni hekaheka, patashika nguo kuchanyika.

Tupia vimbwanga vyao hapa tupate risiti Uchaguzi Mkuu ukifika.

===

View attachment 2950050View attachment 2950051
Kingwangalla akipata futari ya aftatu kwa mama ntilie maeneo ya Mikumi

Mwigulu asherehekea siku yake ya kuzaliwa na wananchi aandika haya kwenye ukurasa wake wa X;

"Leo sikukuu yangu nimeitumia jimboni kusherehekea na wananchi wa kata za Doromoni, Kidaru na Kisiriri. Kwa umoja wao wamesema Mwendo ni uleule 2024& 2025 mafiga matatu watachukua na kuweka waaaaaa."
 
Kigwa alisema Futari ya Alfu mbili Mia tano kumbe ya Buku tatu nani anaetuzuga hapa?
 
Wakuu,

Wabunge wameshaanza maigizo na mazingaombwe kuelekea uchaguzi mkuu 2025, wengine wanapanda baskeli, wengine wanaenda kula kwa mama ntilie, wengine wanapaki viete na kuingia na maguta, wengine wanakuwa majinjia ghala na kuanza kuendesha mitambo.

Yaani ni hekaheka, patashika nguo kuchanyika.

Tupia vimbwanga vyao hapa tupate risiti Uchaguzi Mkuu ukifika.

===

View attachment 2950050View attachment 2950051
Kingwangalla akipata futari ya aftatu kwa mama ntilie maeneo ya Mikumi
Mwigulu ashiriki Mashindano ya 7 ya kuhifadhi Qur'aan Tukufu yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Kondoa tarehe 30 Machi, 2024, Waziri wa Viwanda na Biashara, Ashatu Kijaji yaliyofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Lembo-Masawi.

Mwigulu ametoa rai kwa wacha Mungu kuendelea kumuombea Rais Samia aendelee kuwatumikia Watanzania akiwa na Afya njema.

Akarusha kijembe kwa wanaosema Rais Samia anakopa sana.
 
Wakuu,

Wabunge wameshaanza maigizo na mazingaombwe kuelekea uchaguzi mkuu 2025, wengine wanapanda baskeli, wengine wanaenda kula kwa mama ntilie, wengine wanapaki viete na kuingia na maguta, wengine wanakuwa majinjia ghala na kuanza kuendesha mitambo.

Yaani ni hekaheka, patashika nguo kuchanyika.

Tupia vimbwanga vyao hapa tupate risiti Uchaguzi Mkuu ukifika.

===

View attachment 2950050View attachment 2950051
Kingwangalla akipata futari ya afmbilii miatano (2500) kwa mama ntilie maeneo ya Mikumi

Mwigulu afanya ziara ya kusikiliza changamoto na kupokea maoni ya wananchi wa jimbo la Iramba Magharibi, kata za Ntwike, Mgongo na Shelui.

mwiguu 1.jpeg
mwiguu 2.jpeg
mwiguu 3.jpeg
mwiguu.jpeg
 
Mwigulu asherehekea siku yake ya kuzaliwa na wananchi aandika haya kwenye ukurasa wake wa X;

"Leo sikukuu yangu nimeitumia jimboni kusherehekea na wananchi wa kata za Doromoni, Kidaru na Kisiriri. Kwa umoja wao wamesema Mwendo ni uleule 2024& 2025 mafiga matatu watachukua na kuweka waaaaaa."
chemistry inaonyesha mambo ni bam bam
 
Wakuu,

Wabunge wameshaanza maigizo na mazingaombwe kuelekea uchaguzi mkuu 2025, wengine wanapanda baskeli, wengine wanaenda kula kwa mama ntilie, wengine wanapaki viete na kuingia na maguta, wengine wanakuwa majinjia ghala na kuanza kuendesha mitambo.

Yaani ni hekaheka, patashika nguo kuchanyika.

Tupia vimbwanga vyao hapa tupate risiti Uchaguzi Mkuu ukifika.

===

View attachment 2950050View attachment 2950051
Kingwangalla akipata futari ya afmbilii miatano (2500) kwa mama ntilie maeneo ya Mikumi
Rais Samia ameongea kwa njia ya simu na Kiongozi wa Kanisa la WRM Nicolaus Suguye na Waumini wake kupitia simu ya Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa katika maadhimisho ya miaka 17 ya Kanisa hilo lililopo Kivule Dar es salaam.

Pamoja na nasaha za kutafakari mafunzo ya dini na kuendeleza umoja, ametoa pia pesa taslimu kama zawadi kwa kanisa hilo.

Kwa upande wake Waziri Silaa amewaomba Waumini na Watanzania kwa ujumla waendelee kumuombea Rais Samia kwa kuendelea kuliongoza Taifa vizuri.

Hiyo siku ya uchaguzi yenyewe ndio itakuwa na vibweka vya kujaza huu uzi.
 
Hii nchi kufa kwa stress ni kujitakia, kuna lile igizo la mama salma kapaki V8 akapanda bodaboda kwenda kwa wapiga kura wake. Au lile tukio la Tulia kwenda kuzindua nyumba ambayo haina hata madirisha aliyomjengea mpiga kura wake. Ndio kwanza April 02, 2024, tutashuhudia maigizo mengi hakika!
 
Rais Samia ameongea kwa njia ya simu na Kiongozi wa Kanisa la WRM Nicolaus Suguye na Waumini wake kupitia simu ya Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa katika maadhimisho ya miaka 17 ya Kanisa hilo lililopo Kivule Dar es salaam.

Pamoja na nasaha za kutafakari mafunzo ya dini na kuendeleza umoja, ametoa pia pesa taslimu kama zawadi kwa kanisa hilo.

Kwa upande wake Waziri Silaa amewaomba Waumini na Watanzania kwa ujumla waendelee kumuombea Rais Samia kwa kuendelea kuliongoza Taifa vizuri.

kiongozi wa wanainchi huzungumza na wanainchi wake namna hii...

well done President Dr.SSH...
 
Kuna yule tumbo tumbo wa umasaini kaipiga risasi gari yake halafu anadai ameshambuliwa kwa silaha za kivita,pumbavu kabisa.
 
Back
Top Bottom