Pre GE2025 Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwisho wa kunukuu

F8727D10-618F-462F-85D4-15A1899AC5BE.jpeg
527FF210-3CEE-4C75-94EF-F86E3E5B6743.jpeg
BC9D489E-E129-465A-86EE-D03A389BB8CD.jpeg
DF8ECD19-D4D0-4D90-BD89-DCE12CEEE4C8.jpeg
 
Rais Samia ameongea kwa njia ya simu na Kiongozi wa Kanisa la WRM Nicolaus Suguye na Waumini wake kupitia simu ya Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa katika maadhimisho ya miaka 17 ya Kanisa hilo lililopo Kivule Dar es salaam.

Pamoja na nasaha za kutafakari mafunzo ya dini na kuendeleza umoja, ametoa pia pesa taslimu kama zawadi kwa kanisa hilo.

Kwa upande wake Waziri Silaa amewaomba Waumini na Watanzania kwa ujumla waendelee kumuombea Rais Samia kwa kuendelea kuliongoza Taifa vizuri.

Ulaya thubutu rais atoe hela bila kufanyiwa kazi, sisi kutanguliza rushwa ni sifa!
 
Ifike muda wa kufanya siasa zilizo bora, sio kufanya uchawa kwa kigezo cha kuonesha kua ni siasa. Anyway nchi ishakua angalau na wasomi wa kutosha hope one day some great leaders may arise
 
Shida ni hapo sisi wenyewe tunakimbilia kusapoti machawa badala ya wenye uwezo, unategemea nini hapo?
 
Wakuu,

Wabunge wameshaanza maigizo na mazingaombwe kuelekea uchaguzi mkuu 2025, wengine wanapanda baskeli, wengine wanaenda kula kwa mama ntilie, wengine wanapaki viete na kuingia na maguta, wengine wanakuwa majinjia ghala na kuanza kuendesha mitambo.

Yaani ni hekaheka, patashika nguo kuchanyika.

Tupia vimbwanga vyao hapa tupate risiti Uchaguzi Mkuu ukifika.

===

Ahadi za kununua vitu, kukabidhi vitu katika makundi mbalimbali na kutoa zawadi/Rushwa
2025
=====

Wananchi/wanasiasa/kada nyingine kujipendekeza kwa Rais
2025
=====

Kujichanganya na wananchi wa hali ya chini/kushiriki katika shughuli mbalimbali za wananchi
=====

Siasa na matamko sehemu za dini pamoja na matamko ya viongozi wa dini (kanisani na misikitini na shughuli za kidini kwa ujumla)

=====

Mengineyo

Mwaka 2025
- Kuelekea 2025 - Bashungwa asimamishwa na trafiki akiwa ametumia gari binafsi, awapongeza kwa kazi nzuri. Muvi zinaendelea

- Kuelekea 2025 Waziri Ulega akagua matengenezo ya barabara ya Samora usiku

- Kuelekea 2025 Baadhi ya Maaskofu wachukizwa na Padre Kitima kufanya Vikao vya Siri na CHADEMA

Kalba ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 27

Baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 27, 2024
+
Askofu Mstaafu Peter Konki: Vyama vya Upinzani vyatakiwa kuendelea Kujipanga kuongeza Ushindani
+ Askofu Ruwa'ichi: Hatuwezi kukaa kimya wakati tunapitia vipindi vigumu, ni jukumu letu kutoa matamko
+ Khadija Mwanamboka aipeleka Samia Fashion Festival Zanzibar, kufanyika Novemba 30, 2024
+ Idris Sultan: Madereva wote wa Serikali wavae Samia Suit. Mnavaa suti za Kaunda wakati hamumjui, Samia mnamjua
+ Zahoro Matelephone ni nani mpaka RC Mwanza ameenda kuzindua kiduka chake cha simu?
+ Waangalizi Uchaguzi TPCF: Sheria na Kanuni zilizingatiwa kipindi chote cha Uchaguzi Serikali za Mitaa
+ Balozi Mjenga apongeza zoezi la Uchaguzi kuendeshwa kwa Amani
+
+
===

View attachment 2950050View attachment 2950051
Kingwangalla akipata futari ya afmbilii miatano (2500) kwa mama ntilie maeneo ya Mikumi
Du kigwangala katisha!!!
 
- Rais Samia amzawadia TSh Milioni 5 aliyewaokoa Watumishi wa TRA waliovamiwa Tegeta

Kalba ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 27

Baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 27, 2024
+
Askofu Mstaafu Peter Konki: Vyama vya Upinzani vyatakiwa kuendelea Kujipanga kuongeza Ushindani
+ Askofu Ruwa'ichi: Hatuwezi kukaa kimya wakati tunapitia vipindi vigumu, ni jukumu letu kutoa matamko
+ Khadija Mwanamboka aipeleka Samia Fashion Festival Zanzibar, kufanyika Novemba 30, 2024
+ Idris Sultan: Madereva wote wa Serikali wavae Samia Suit. Mnavaa suti za Kaunda wakati hamumjui, Samia mnamjua
+ Zahoro Matelephone ni nani mpaka RC Mwanza ameenda kuzindua kiduka chake cha simu?
+ Waangalizi Uchaguzi TPCF: Sheria na Kanuni zilizingatiwa kipindi chote cha Uchaguzi Serikali za Mitaa
+ Balozi Mjenga apongeza zoezi la Uchaguzi kuendeshwa kwa Amani
+
+
===

View attachment 2950050View attachment 2950051
Kingwangalla akipata futari ya afmbilii miatano (2500) kwa mama ntilie maeneo ya Mikumi
Huu uzi unachekesha sana.
Ni comedy tosha.
 
Back
Top Bottom