wingatereza
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,334
- 1,722
Oh OK, coolWatu wamelala watashare wakiamka
Itakua alfajiri hii amekuta foleni huko toi mkuu.Watu wamelala watashare wakiamka
Yaah upo tayari[emoji23][emoji23]Uzi kama huu teyari upo
Ndo kinachonitokea saa hizi siku hizi tunaambia hatunaa...!! Wapuuzi sanaa yani wambea mbea tuIlikua kila wife aikanza kupika nyama asipo wapa wapangaji wenzie wana kasirika halafu kila Umeme ukiisha nikitoa mapema wanasema najifanya nninahela
Itakua alfajiri hii amekuta foleni huko toi mkuu.
HahahhhhNshawahi kukaa nyumba moja ivi..wifey akienda kumwaga takataka jalalani wanaenda kuangalia kamwaga nini ili kujua kapika nini.
Nyumba ya kupanga ikiwa na wanawake wengi ni shida
Ni balaaa[emoji119][emoji119][emoji119]Nshawahi kukaa nyumba moja ivi..wifey akienda kumwaga takataka jalalani wanaenda kuangalia kamwaga nini ili kujua kapika nini.
Nyumba ya kupanga ikiwa na wanawake wengi ni shida
Haina noma kama unaweza kushare kisa chochote hata cha kusimuliwa we maliza kuna kitu tutajifunzaUzi kama huu teyari upo
Vipi alikuwa analipa? Labda alitaka umubomoe yeyeMaza house alikuwa ananinunia kila nikileta manzi
Pole SNA mkuuNdo kinachonitokea saa hizi siku hizi tunaambia hatunaa...!! Wapuuzi sanaa yani wambea mbea tu