round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
- Thread starter
- #41
Subiri tu lasivyo huko unakoenda utaanza kuomba omba, kesho watakwambia kila mtu ajilipie 😂Umechelewa mshahara ushaisha, Mwisho wa mwezi nitarud hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri tu lasivyo huko unakoenda utaanza kuomba omba, kesho watakwambia kila mtu ajilipie 😂Umechelewa mshahara ushaisha, Mwisho wa mwezi nitarud hapa.
Kweli mkuu, au utoe jicho ili uone starehe.Subiri tu lasivyo huko unakoenda utaanza kuomba omba, kesho watakwambia kila mtu ajilipie 😂
PoleUjana maji ya moto. Vunja mifupa wakati meno bado yapo.
Kuna umri ukifika hata kutoka nje unaona kero. Tangu niingie ndani jana saa mbili usiku sijatoka hata nje ya geti. Hapa nasubiri Madrid derby nayo ikiisha niangalie Lakers vs Pacers ikiisha hio saa 8 usiku nilale kesho nowahi shamba.
Wazo zurifIkiri kwa sekunde. Wazo la bure hili.
Kwanini usianzishe website ionyeshe hizo klabu ukusanye hela badala ya likes?
Unavuta kote kote.
kama naona 👀batu bameisha anza kutafakari hili. Mniletee mrejesho
ukimeki usimshahu Nkaburu 👉💥
Unaonekana either upo kwenye foolish age au umeanza kuingia sehemu za starehe miaka ya hivi karibuni.Nimeona sio jambo baya Kama tukawa na Uzi maalum kwa ajili ya viwanja vya starehe, Tukutane hapa
- Kupeana updates za viwanja
- ubora wa huduma zitolewazo kwenye viwanja
- viwanja vya kukwepa
- Tahadhari tuwapo viwanjani
- Elimu kwa wageni wasichekwe wakitembelea viwanja 🤣
Tusisahau kutupiamo vimbwanga na vituko tulivyoahi kukutana navyo tukiwa viwanjani
1. TABIA AMBAZO HUTAKIWI KUZIONYESHA, UTAONEKANA MSHAMBA, KUKU MWENYE KAMBA MGUUNI
- Kushangaa shanga watu - unatolea macho mashoga ukiwakazia macho utatongozwa 😂, wakijua unawashangaa wanaweza kukumwagiwa bia
- Vibe likikolea usianze habari za kuwaambia wenzako kurudi nyumban eti muda umeenda sana, kwani upo boarding ?
- acha kuuliza time kila muda, kwa wazoefu nyimbo flani ikipigwa wanajua kabsa sa hivi muda flani
- Bill ya Lak 2 unaanza kulalamika mbona bill ni kubwa ivyo wakati ni kiwanja kikali
- kubambia anae cheza na mwingne, hii sio bush party
2. UKISIKIA MANENO HAYA JUA WANAKUKWEPA (acha kuomba omba, acha kuleta stori za matatizo, n.k)
- umetukuta ndio tulikuwa tunaondoka Muhudumu tunaomba Bill"
- Mbona meza nyingi, sio lazima tukae meza moja
- Vp huendi nyumbani
- Tunahama, hapa jau
- Nyumbani wanajua upo hapa
- Sisi tunaenda kuna emergency,
- subiri tutakupitia
- Leo kila mtu atumie pesa yake
- hivi job unaingiaga saa ngapi mkuu
3. VIWANJA VINAVYOJAA WAZUNGU, WACHINA, WATALII, n.k.
4. TAHADHARI
- Havoc, slipway, cliff, wavuvi camp - DSM
- The Hub, Zeze - Arusha
- Kendwa rocks - Zanzibar
- Ukienda chooni ukirudi nunua kinywaji kingine, usinywe ulichokiacha, kuna uhuni unaitwa spiking
- Vuta chako au cha mtu ambae mpo karibu, usigongee kwa watu usiowajua, wapo wanaomix madawa.
- NI vema kutuliza ugomvi kuliko kuukuza, hujui unaetaka kupigana nae ni nani, kaja na kina nani, n.k.
- No mara waaa, beba mpira, likitokea la kutokea tumia mpira, bata utakula na marafiki ila majuto kivyako.
HahahahWalevi wanakuja kukupa mwongozo View attachment 3229478
Mkuu Jana sikuona reply yako.. Ila Leo uhakika confirm km utakuja mkuuMkuu npo Ndanda apa kikazi nmekaa ndani siku njema nko bored kinoma
Nakanyaga mafuta nusu saa npo apo
PestanaHivi dodoma kwasasa kiwanja gani kiko juu na kina vibe.??
Hii Travek osil naipatajemkulu acha kujitafutia vijisababu, hizo google maps na magroup kama zingekuwa ndio vianzio vizuri vya kutafuta chechote, kusingekuwa na app ama mfano website kama ya Travel ositi ambayo natumia nikiwa safarini. Napata kila kitu pale. HOTELI, GARI, CLUB,n.k n.k as opposed yangu mimi kuanza kutafuta google, kisha nitafute, club, nitafute usafiri na hoteli wakati nikiingia travel ositi naserereka
any way who does that nowadays? kuingia magrupu na google kutafuta? Nataka app ama website napata kila kitu.
unafikiri wanatengeneza hela kwa trafik peke yake?
najua kuna watu watachangamkia. Kama sio kenya nigeria na south. Changamka. Unayo idea nzuri ikuze. Panua wigo mkulu.
au
ndio unasema uanchangamsha jukwaa tu ama hapa JF ndimo utatengeneza pesa zaidi.
Website kiasi gani?