Uzi maalum wa wanywaji pombe

Uzi maalum wa wanywaji pombe

4c89cbe31a8e0bf8e43bd483bf3426a6.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa alikutwa amelala chumbani kwa watu Oyterbay, jamaa anakoroma, watoto ilibidi wawaambie wazazi wao, wazazi wamekuja waliamua kuhamisha watoto wakamuwacha jamaa alale tena yuko na boxer kama kwake.

Asubuhi wanamuuliza umefikaje hapa, kumbe jamaa aliishi nyumba ile akiwa mtoto na alizaliwa hapo enzi za Nyerere. Alikwenda kwenye party maeneo baada ya pombe kukolea na kuona ile nyumba akili za utotoni zilirudi kuwa pale ni home.
Hii kamba
 
Back
Top Bottom