Uzi maalum wa wanywaji pombe

Uzi maalum wa wanywaji pombe

binafsi km mtoto wa kike ambae najinunuliaga pombe, nimeshagundua ina faida kubwa kwenye productivity yako ya kila tu pale tu utakapojua ni aina gani ya pombe inafaa lifestyle yako. mfano: km ww ni mkurugenzi au kiongoz lkn mlevi bac k-vant inakufaa. ..km n mpiga debe au dalali kilevi chako n konyagi, km unapenda kufanya kazi huku uko high bac valuer inakufaa, km n mla bata kama bosslady hapa basi ni mwendo wa dompo tu


shouger una mbwemwee!heehe nikajua kitu cha henessy kumbe le dompo tu ya 15000/= teh!...haya le boss lady !salute
 
Bar nzuri iwe na misosi nyama choma vinywaji kibao bila kusahau wale viumbe wetu hasa wakiwa na mitako mikuuubwaaa sura hata iwe mbovu ila mzigo uwepo
Ukija Arusha nenda Picnic au Matakao baa utakutana na hayo mambo wahudumu wenye mizigo yao
 
Kazi na dahawa
d3ae0dc90a785ba222e6206c995650b1.jpg
56aaf747489ada3c110e3c44ab5cae6b.jpg


-Ndumilakuwili-
Bar ya hivi siondoki akiyanani..nasinzia naamka, lete ingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picnic is number one in business, chakula kizuri, wahudumu wana vyura na sura nzuri.

Huwa ninawaza nani anawafanyia interview wale viumbe?
Hahahahaha nilijua wanaopafaham mtasifia, pale sio pa kwenda na mpenzi/mume/sijui mchumba walahi utaibiwa maana wale wahudumu ni nouma aiseeee sitakagi kwenda na mwanamme kabisaaaaa maana waweza jikuta umezira kunywa bia bure
 
Hivi hizi Safari ndogo (Mwendo kasi) wameweka nini ndani yake....!?

Siku hizi vimekuwa vichungu na vikali mno...! As if wanawakomoa Wanywaji/wateja wao.

Ama ni fake na wateja hatujui...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara ya kwanza kwenda pale ilikuwa 2013 Sept, nilikuwa Arusha kikazi bila hata mwenyeji. Nikaongea na dreva taxi nikamwambia nipeleke mahali nitakapoangalia mpira (ilikuwa Jumanne UEFA) huku nakula nyama na kinywaji.

Straight akanipeleka pale, dah nilishangaa sana wale wahudumu, kama vile wote wametoka kwa Kagame, full vyura. Halafu wako so fair kwenye bei.

Issue ikawa siku nyingine nimeenda Arusha napatafuta pale maana hata jina nilikuwa sijalikariri.
Teheheheeh ungetafuta tena tax dreva umwambie nipeleke kwenye ile baa ina wahudumu wazuri, siku nyingine nenda matako baa ila wale sio wazuri wa sura sanaaa ila huko nyumaaaaa mmmmh
 
Teheheheeh ungetafuta tena tax dreva umwambie nipeleke kwenye ile baa ina wahudumu wazuri, siku nyingine nenda matako baa ila wale sio wazuri wa sura sanaaa ila huko nyumaaaaa mmmmh

Mimi huwa siyo mteja sana wa wale watu, ila ile atmosphere tu inavutia kukaa pale, maana screen ni za kutosha, misosi mizuri na hata wahudumu hawapandishi bili.
 
Nilifanya interview kwenye kampuni mmoja ya mazingira wakaniuliza una maoni gani kuhusu kufungiwa viloba hapa nchini, Jibu nilowapa Kama wataniita tena kwa ajili ya kazi nitawajulisha.
 
Nilifanya interview kwenye kampuni mmoja ya mazingira wakaniuliza una maoni gani kuhusu kufungiwa viloba hapa nchini, Jibu nilowapa Kama wataniita tena kwa ajili ya kazi nitawajulisha.
Ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom