Nimesikia kuwa wao wanatumia Tendeswali zuri kweli hili..mi nadhani jamii yoyote ya asili ya eneo husika lazima wawe na pombe za kienyeji lakini kwa kua wazanzibar wengi ni uzao wa watumwa na wapokeaji wa dini ya kiislam sidhani kama watakua na pombe za kienyeji.
Anzia na konyagi kwanza. Ndipo usuuze koo na serengeti lite mbili au tatu hata nne uwezo wako na kichwa chako tu kama uko vizuri unahimiri huo mchanganyiki pouwa tu mkuuHizi Serengeti Lite hata hazileweshi
Matako bar unazungumzia mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Bar nzuri iwe na misosi nyama choma vinywaji kibao bila kusahau wale viumbe wetu hasa wakiwa na mitako mikuuubwaaa sura hata iwe mbovu ila mzigo uwepo
Mitaa hiyo hiyo ya THE PICNIC kama unakuja kwenye ile njia ya lami inayoenda Florida au town
Hii kambaKuna jamaa alikutwa amelala chumbani kwa watu Oyterbay, jamaa anakoroma, watoto ilibidi wawaambie wazazi wao, wazazi wamekuja waliamua kuhamisha watoto wakamuwacha jamaa alale tena yuko na boxer kama kwake.
Asubuhi wanamuuliza umefikaje hapa, kumbe jamaa aliishi nyumba ile akiwa mtoto na alizaliwa hapo enzi za Nyerere. Alikwenda kwenye party maeneo baada ya pombe kukolea na kuona ile nyumba akili za utotoni zilirudi kuwa pale ni home.
Hahah wanywaji hii tumeigomea mkuu.Hii kamba
kumbe na ww membe..Hahah wanywaji hii tumeigomea mkuu.
oh sorry Membakumbe na ww membe..
Hahah kama kawa mkuu na hii december huku Kaskazini utadhani ni mwezi maalumu wa kulewa tu,hahah.kumbe na ww membe..
Hahah kama kawa mkuu na hii december huku Kaskazini utadhani ni mwezi maalumu wa kulewa tu,hahah.
Teh teh ndio tamaduni zetu hizo.been there ..khaa nilikua nashangaa sana sana