Nini Mbiti jamanlol!
Ahahahaa usinifiche shunieAhahha ney bana mbona mchokozi hivyo nakunywa fanta orange
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana ujueahhaha! ngj nikae kimya .. nna walakin aisee
Soda kitu cha baridi fanta tamu sanaAhahahaa usinifiche shunie
basi sawa sote tupiga soda [emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana ujue
ni kuondoka nae
Ahahahaaa haya mama mie ngoja niwe mpenzi mtazamaji kwenye vinywaji vyenye vileviaahhaa haya ! usionje! utachonga mzinga!,,mie napiga mara mojamoja sana! soo sweet!
Jaman savanna kitu savanna mh kinaongezaa naniliiiii.... Walevi tunajua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinywaji changu heinken mama mavinywaji mengine yote siyawezi labda siku itokee na hamu ya winekwan mie kilaza basi hahha! be real my dear! sijui kwann sijui kuvunga mie khaa!hhe
[emoji23][emoji23][emoji23]ni kuondoka nae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Asprin nakuona nakuona nakuona nakuona mkuu [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Mrema alishakufa. Tulimzika maeneo ya hoteli yake ya Ngurdoto
Napendaga sana sminrf ice pia lakin savvana ndo kila kitu hasa ukiwa unapambana na hubaa lako hatarmie nikinywa hizo tumbo linawaka!ila umewahjaribu sminrf blak ice mamy?/ ile aiseeee ni km nyagi..yaan uwiii
Kinywaji changu heinken mama mavinywaji mengine yote siyawezi labda siku itokee na hamu ya wine
Nakuaminia mkuu twende nao uzi huu mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Karibu kilingeni mdau,...
Mkuu Naomba nikununulie savannaJaman savanna kitu savanna mh kinaongezaa naniliiiii.... Walevi tunajua
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi me naiona tamu jaman sijui sababu nimeizoea ya baridiiii [emoji39]hahaha mie nikinywa ya 3 ndo huwa nakuwa naiweza naiona chunguuuu! nice!
naunga mkono hojaZikitoka pesa pombe ndo inafata kwa kuwa sabuni ya roho.
Delta Force