Uzi maalum wa wanywaji pombe

Mlevi siku zote hasahau vitu viwili,..anapoishi,.....na bili ya vinywaji alivokunywa,ao wengine sijawaelewa!!!

....Miaka kadhaa iliyopita kuna jamaa mmoja alikuja from DSM kwenye kinyang'anyiro cha kugombea kura za maoni wilayani Kilwa kupitia chama chama kimoja kikongwe. Baada ya mchuano mkali jamaa kura zikawa hazikutosha, akaamua kwenda kupata monde apunguze machungu; hivyo akapiga konyagi za kutosha (inasemekana ndiyo kinywaji chake).

Jamaa alikuwa amefikia Guest moja maarufu tu pale Kilwa Masoko (MJAKA GUEST HOUSE), sasa baada ya kupiga bapa za kutosha akaingia kwenye gari lake kurudi guest, aisee badala ya kukunja kuingia guest (iko pembeni ya barabara) jamaa akanyoosha moja kwa moja akaingia bandarini (kulikuwa hakuna geti enzi hizo, kuna kamba tuu) moja kwa moja mpaka kwenye deck ya meli akatumbukia baharini, na mauti yakamkuta hapo hapo.
 
hahahahaa nimecheka had mume kanifinya hahahahaha umejuaje km ni tamu wajina !hahhaaha ina kitu gan sijui nimesahau .. mie nna ulcers huwa siamki aisee naumwa tumboo uwii ( nadhan ile cider ina vichembe chembe vya ulimao)

Mbona savanna ni tamu MBITI, chakufananisha na nyagi ni kama smin off vodka.
ek
 
Kinywaji changu heinken mama mavinywaji mengine yote siyawezi labda siku itokee na hamu ya wine
Duuh bora hata wewe mwenye uchaguzi, mie chochote tuu twende kazi ni mwendo wa tarumbeta without glass [emoji26]
 
hahahahaa nimecheka had mume kanifinya hahahahaha umejuaje km ni tamu wajina !hahhaaha ina kitu gan sijui nimesahau .. mie nna ulcers huwa siamki aisee naumwa tumboo uwii ( nadhan ile cider ina vichembe chembe vya ulimao)


ek
Huyu Ney anakunywa sana ujue inaonyesha
 
Hivi Zanzibar kuna pombe za kienyeji? Kama vile mataputapu kwa upande wa Bara...
swali zuri kweli hili..mi nadhani jamii yoyote ya asili ya eneo husika lazima wawe na pombe za kienyeji lakini kwa kua wazanzibar wengi ni uzao wa watumwa na wapokeaji wa dini ya kiislam sidhani kama watakua na pombe za kienyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…