Uzi maalum wa wanywaji pombe

Pombe kali si nasikia hauendi sana chooni sema ndio umeshajizoesha hivyo

Nikinywa bia ndio trip za chooni zikianza inakuwa utata...mm pombe kali ndio nilianza kujifunzia home maana dingi yeye ilikuwa konyagi,john walker na grants
 
hhaahha najua ana stress km mie hapa iweje zimpite hahah! naitafuta siku nijidunge weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo juu kaongelea smirnoff kali kama konyagi amejuajee jaman kuna seheme kaniquote bora me nina kinywaji maalumu yeye chochote twende tu anabugia na chupa
 
Ukiona mpaka anazima na kupotea home uyo sio mwanachama mwenzetu ila kavamia tu chama chetu kwa kifupi uyo ni "mnywaji rapa"
 
hahahahaa nimecheka had mume kanifinya hahahahaha umejuaje km ni tamu wajina !hahhaaha ina kitu gan sijui nimesahau .. mie nna ulcers huwa siamki aisee naumwa tumboo uwii ( nadhan ile cider ina vichembe chembe vya ulimao)


ek
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tufurahi tuu wajina hakuna namna. Ukivurugwa sana inafikia hatua hutumii tena bia uliyoizoea unajikuta unamwambia muhudumu nipatie yoyote yenye alcohol kubwa zaidi [emoji28][emoji28]
Ulewe ukalale pakuche maisha yaendelee [emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naombea nisifike huko Ney
 
kama tanzania ingepunguza kodi inayotoza kwenye beer na baadhi ya vilevi vingine kuna baadhi ya beer zetu zingevuka border kwa wingi na mapato yangeongezeka sana.
 
Take on empty stomach mkuu 3-4 bottles ndio ule huku unapiga taratibu kumaintain effect usiende bar na kuanza kuagiza nyama au mchemsho supu whatever kabla hujanyewa utapata hasara but offer 1merit they are cheaper at 1.5k tsh
Hapo mkuu unatapika povu. Pombe bila ya kula noma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 


hahaha bas nna rafiki angu amevurugwa zaid jaman uwiii hahahahah! yule kiboko! akikua swala 5 anazikung'uta jaman nyagii alafu ukimuiona humzanii! mzuriii hahahahah! anaenda counter anaangalia yenye alcohol kubwa anaagiza! last yr nilizinywa sana wine aisee! mwaka huu ni km nimeacha! ila natafuta siku ... maana khaa!

demi njoo huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…