Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
- Thread starter
- #101
Upo sahihi mkuuUkiona umefikia hiyo hatua, ni bora ukaacha pombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi mkuuUkiona umefikia hiyo hatua, ni bora ukaacha pombe
Pombe kali si nasikia hauendi sana chooni sema ndio umeshajizoesha hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo juu kaongelea smirnoff kali kama konyagi amejuajee jaman kuna seheme kaniquote bora me nina kinywaji maalumu yeye chochote twende tu anabugia na chupahhaahha najua ana stress km mie hapa iweje zimpite hahah! naitafuta siku nijidunge weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Aiseee pombe kali zimenishinda kabisa mpaka umri huu sitakunywa kabisaNikinywa bia ndio trip za chooni zikianza inakuwa utata...mm pombe kali ndio nilianza kujifunzia home maana dingi yeye ilikuwa konyagi,john walker na grants
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahahaa nimecheka had mume kanifinya hahahahaha umejuaje km ni tamu wajina !hahhaaha ina kitu gan sijui nimesahau .. mie nna ulcers huwa siamki aisee naumwa tumboo uwii ( nadhan ile cider ina vichembe chembe vya ulimao)
ek
PROF NDUMLAKUWILI: huyo weiter wa mkono wa kulia. Picha ya juu kakaa utamu sana mkuu. Nipe namba yake mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]Kazi na dahawa![]()
![]()
-Ndumilakuwili-
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naombea nisifike huko Ney[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tufurahi tuu wajina hakuna namna. Ukivurugwa sana inafikia hatua hutumii tena bia uliyoizoea unajikuta unamwambia muhudumu nipatie yoyote yenye alcohol kubwa zaidi [emoji28][emoji28]
Ulewe ukalale pakuche maisha yaendelee [emoji125][emoji125][emoji125]
Kule ngada. Ndio sana mkuuHivi Zanzibar kuna pombe za kienyeji? Kama vile mataputapu kwa upande wa Bara...
Gonga safari lager au Balimi extra.....uone..Hizi Serengeti Lite hata hazileweshi
Hapo mkuu unatapika povu. Pombe bila ya kula noma sanaTake on empty stomach mkuu 3-4 bottles ndio ule huku unapiga taratibu kumaintain effect usiende bar na kuanza kuagiza nyama au mchemsho supu whatever kabla hujanyewa utapata hasara but offer 1merit they are cheaper at 1.5k tsh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wataenda kukupima mkojo mkuuNawaona tu mnavyotamba,ngoja na mie nianzishe uzi wa watumiaji wa sigara kubwa ili twende sawa
Sipati picha huyu dogo. Akishakua mkubwa itakuwaje![]()
-Ndumilakuwili-
Muombe Mungu shunie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naombea nisifike huko Ney
huyu jamaa akikutana na wakali anapitiwa.........[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pombe haijawahi muacha mtu salama
![]()
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tufurahi tuu wajina hakuna namna. Ukivurugwa sana inafikia hatua hutumii tena bia uliyoizoea unajikuta unamwambia muhudumu nipatie yoyote yenye alcohol kubwa zaidi [emoji28][emoji28]
Ulewe ukalale pakuche maisha yaendelee [emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona anajishuku. Kaulizwa?Kuna mlevi haku akilewa tu.. Basi ataimba sina ukimwi sina kisukari
Sent using Jamii Forums mobile app