Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah leo misuli ya kiuno ilishika sana sijui kwanini, nimekimbia Km1 na nimerudi natembea ni kama nyongaAsee nilikua napiga push ups na mazoezi fulani ya tumbo kwa miezi kama mitatu mfululizo nikawa poa sana, nikaja kuumwa ugonjwa fulani wa uchovu wa kufanya kazi bila kupumzika!!
Uvivu ukanijea hapo hapo, leo nimeshtua kidogo.
Pole mkuu.Dah leo misuli ya kiuno ilishika sana sijui kwanini, nimekimbia Km1 na nimerudi natembea ni kama nyonga
zimenishika
Umezidisha zoezi kaka.Dah leo misuli ya kiuno ilishika sana sijui kwanini, nimekimbia Km1 na nimerudi natembea ni kama nyonga
zimenishika
mkuu unatumia kifaa gani kinacho count hizo dakika, na hicho kifaa unakiweka wapi hadi kina sense hivyo movements?
Natumia simu janja tu mkuu.mkuu unatumia kifaa gani kinacho count hizo dakika, na hicho kifaa unakiweka wapi hadi kina sense hivyo movements?
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumia simu janja tu mkuu.
Hiyo inayohesabu huo umbali,muda na 'pace' ni app inayoitwa Samsung Health.
Wakati naanza zoezi nina 'activate' hiyo app kisha naweka simu mfukoni.
Nikimaliza kukimbia nagonga stop inakuletea mambo yote hadharani.
Hapo chini ni leo hii...View attachment 1302111
Sent using Jamii Forums mobile app
na alfajiri unaamka saa ngapi? ili kuwahi kuamka unatumia alarm au,? maana kuamsha mapema sana ni mtihaniPole mkuu.
Yawezekana ni uchovu tu wa misuli,jipe muda itulie kdg.
Mimi kwangu flu imenikamata mbaya kabisa,alfajiri ya leo nimeshindwa kabisa kuamsha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haahaaaaahaaaaa...na alfajiri unaamka saa ngapi? ili kuwahi kuamka unatumia alarm au,? maana kuamsha mapema sana ni mtihani
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana mkuu.asante mkuu, nishaidownload tayar.... nimeplan nami nianze rasmi mazoezi, nitaleta mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu mkuu.Saf wakuu na mm januar mosi au pili naanza mazoezi
Asante sana mkuuKaribu mkuu.
Mazoezi muhimu.
Tuwepo hapa hapa kupeana moyo na updates
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi kabisa mkuu.
Mimi napiga push up 100 hadi 120 kwa siku asubuhi na jioni. Inanisaidia nakua kimwili niko fit GAZETI,