Uzi maalum: Wapenda mazoezi ya viungo tukutane hapa kwa maoni, ushauri, aina za mazoezi, faida zake n.k

Uzi maalum: Wapenda mazoezi ya viungo tukutane hapa kwa maoni, ushauri, aina za mazoezi, faida zake n.k

Asee nilikua napiga push ups na mazoezi fulani ya tumbo kwa miezi kama mitatu mfululizo nikawa poa sana, nikaja kuumwa ugonjwa fulani wa uchovu wa kufanya kazi bila kupumzika!!

Uvivu ukanijea hapo hapo, leo nimeshtua kidogo.
 
Asee nilikua napiga push ups na mazoezi fulani ya tumbo kwa miezi kama mitatu mfululizo nikawa poa sana, nikaja kuumwa ugonjwa fulani wa uchovu wa kufanya kazi bila kupumzika!!

Uvivu ukanijea hapo hapo, leo nimeshtua kidogo.
Dah leo misuli ya kiuno ilishika sana sijui kwanini, nimekimbia Km1 na nimerudi natembea ni kama nyonga
zimenishika
 
Mapambano yameendelea tena leo...
Screenshot_2019-12-23-15-23-11.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu unatumia kifaa gani kinacho count hizo dakika, na hicho kifaa unakiweka wapi hadi kina sense hivyo movements?

Sent using Jamii Forums mobile app
Natumia simu janja tu mkuu.
Hiyo inayohesabu huo umbali,muda na 'pace' ni app inayoitwa Samsung Health.
Wakati naanza zoezi nina 'activate' hiyo app kisha naweka simu mfukoni.
Nikimaliza kukimbia nagonga stop inakuletea mambo yote hadharani.
Hapo chini ni leo hii...
Screenshot_2019-12-24-10-55-16.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[QUOTE="GAZETI,

Pia, tunaweza kushauriana ni vyakula gani vizuri kula baada ya mazoezi, binafsi kuanzia leo nimebadili aina ya mlo. Asubuhi nimekula wali, mchicha usioiva vizuri, chai na korosho robo kilo. Mchana natarajia kula ugali na mchicha, embe dodo 2, nanasi na maji.

Karibuni wakuu.[/QUOTE]

Nimependa tu hapo kwenye mpangilio wa vyakula,wanga wa kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na alfajiri unaamka saa ngapi? ili kuwahi kuamka unatumia alarm au,? maana kuamsha mapema sana ni mtihani

Sent using Jamii Forums mobile app
Haahaaaaahaaaaa...
Kuamsha alfajiri ni mtihani kweli mkuu ila ndio hivyo palipo na nia...
Mimi huwa naamka saa 11 alfajiri.
Huwa naanza zoezi la kutembea haraka kwa wastani wa nusu saa kisha ndio naingia zoezi la kukimbia.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom