Uzi maalumu: Kijiwe cha Soga kwa waliowahi na wanaoendelea kukaa nje ya Tanzania

Uzi maalumu: Kijiwe cha Soga kwa waliowahi na wanaoendelea kukaa nje ya Tanzania

We si unamshangilia Moudguful daily, na hapa kazi tuuu hahahahaa unatoroka kwenda wapi saza
Braza Magufuli anafanya yake kwa ajili ya watu na anafanya vizuri Sana.lakini na Mimi natakiwa nifanye yangu kama Kuna fursa sehemu ambayo naweza kuwekwa nikafanya kazi kwa maslahi mazuri itanibid niende
Hata Kama Kuna kazi za kutumia nguvu huko nipo vizuri.niangalizie huko mkuu
 
bora ungetoka Ukonga (UK) ungeeleweka.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Daaah ngoja nikanywe zangu supu ya kongoro na vitumbua 7 uzuri wetu huku tuna survive ata kwa Buku tu
 
ki Iceland kigumu ee
hebu tuambie maisha ya kule yakoje
mm sweden nimefika mji wA malmo
Denmark nimefika aarus kwenye peninsula very amazing
Reykjavik ni poa. Hasa ni mji wa watalii. Nilikuwa napiga black job restaurant vyombo. Vitu ghali hasa msosi. Wana supermarket yao moja inaitwa badget ndio inaunafuu ila inafungwa mapema sana saa 12 jioni. Reykjavik ni mji simple sana hamna hata train wala tram. Icelandic are friendly and smiling.

Kilichonipeleka Icelend reykjavik ni mzigo boks tatizo jama yangu ambaye ningefikia kwake hakunipokea airport na nilimisplace wallet yangu. Ila kuna jama anaendesha teksi msenegal anaitwa Mo ksma kunambongo anaish reykjavik atamjua. Jamaa alinisadia sana. Natakaga kuleta uzi wa experience ya icelend ila nakuwa mvivu
 
Hahaha pole mkuu
 
Canberra ndani ya Australia,takon.i mwa dunia hiyo...kazi zipo nyingi sema ni mbali mno..hasa kwa usafiri wa kuja na meli..
Natamani sana kufika Australia siku moja hasa Perth Melbourne na Sydney. Maisha nasikia ni cheap ukilinganisha na nch zingine zilizoendelea
 
Kumbe mkuu umewahi kaka Sweden?? Ni miaka ipi?? Nimekaa Sweden mwaka 2006-2009 skövide, hullsberg, na hedemora
Sijakaa sana zaidi ya wiki ila naendaga mara kwa mara. Hataniluvyokuwa nasafiri Reykjavik napanda ndege Arlanda kitu iceland badget airline Wow air masaa 3 na nusu hadi reyjavik yani juu na mbali na only five hrs to NY from Reykjavik
 
Dah mwanangu umenikumbusha Arlanda airport, japo si kubwa kama Stockholm lakin pako cool, nimepiga naenda Jokkmokk kaskazini kabisa kwa Sweden kumuona rafiki yangu kipenzi ambaye alikaribia kuvunja ndoa yangu
 
Kiranga anaamgalia kulia na kushoto,huku akijiuliza "Watu wasiojulikana hawapo hapa?"
 
Kiranga anaamgalia kulia na kushoto,huku akijiuliza "Watu wasiojulikana hawapo hapa?"
mkuu Kiranga niko states. Last week nilicheza megamillions na poweball nikatoka kapa.

Ila tayari nimeshanunua tiketi ya megamillions 1.6 B $ ya tuesday draw na powerball 600 m $ ya wednesday draw. Nimesafiri na mwenyej wangu state flan ukishinda hawakutangaz hadharan.

Niombee
 
Bado nipo nipo bongo nikikaribia kutoka ntawatafuteni
 
mkuu Kiranga niko states. Last week nilicheza megamillions na poweball nikatoka kapa.

Ila tayari nimeshanunua tiketi ya megamillions 1.6 B $ ya tuesday draw na powerball 600 m $ ya wednesday draw. Nimesafiri na mwenyej wangu state flan ukishinda hawakutangaz hadharan.

Niombee

Mkuu Copenhagen DN
upo poa jamaa?

Hahahah Megamillions 1. 6 B $ Niombee pia nimejilipua ya Tuesday...

Nimepoteza siku nzima ya Jumamosi kucheza na namba-It's just a Funny thing let's wait and see
ImageUploadedByJamiiForums1540229348.218943.jpg
....
 
Back
Top Bottom