Uzi maalumu: Kijiwe cha Soga kwa waliowahi na wanaoendelea kukaa nje ya Tanzania

Uzi maalumu: Kijiwe cha Soga kwa waliowahi na wanaoendelea kukaa nje ya Tanzania

Kiukweli sijawahi kutoka nje ya Tanzania nimekuja tu kuweka comment yangu ila jaman ndugu zangu Kama Kuna michongo huko juu nisaidieni na Mimi nipate hata kazi huko maana huku bongo sio pazuri sana.elimu yangu ordinary diploma in hydrology and meterology.asante
 
We si unamshangilia Moudguful daily, na hapa kazi tuuu hahahahaa unatoroka kwenda wapi saza
 
Kwahiyo sis tunaoishi kenya kuna nafasi yetu hapa?
Nimeishi sana kericho, Nairobi eneo linaitwa Kayole, kule kuna kaanjoo kibao, ila wanapenda sana rushwa, wanaomba 500 ksh ni constant, nimezagaa Sana koinange kupata totoz kipindi sijaoa

Kwa hiyo Mkuu watoto wa University of Nairobi umewapitia sana???? Maana KOINANGE ndio mitaa yao ya kujiuza; haswa ikifika Ijumaa jioni.....
 
Write your reply...
umefanya LA maana mno kuweka hii thread
Mimi kwasasa makao yangu ni cologne
mchongo wa kazi ktk shirika Alinichongea ndugu yangu ambaye ni padre huku,nimetembea nchi mbalimbali duniani kwa kazi za shirika letu
Mimi mostly natembea nchi nyingi kwakuwa nipo kitengo cha research
changamoto ni lugha kijerumani kigumu mno heri kifaransa
lkn ktk shirika letu official languages ni Spanish French English,Latin na kireno
sipati shida Sana
visa yangu natembea nchi nyingi duniani
Inaonekana kwa jF unaongoza kwa safari wewe na Britannica
 
Kwahiyo sis tunaoishi kenya kuna nafasi yetu hapa?
Nimeishi sana kericho, Nairobi eneo linaitwa Kayole, kule kuna kaanjoo kibao, ila wanapenda sana rushwa, wanaomba 500 ksh ni constant, nimezagaa Sana koinange kupata totoz kipindi sijaoa
Kayole huko ndo Tandale ya Nairobi
 
Kwa wale wote ambao mko nje ya Tanzania hapa panawahusu
Kwanza tunataka kujua uzoefu changamoto zenu na mnayakabili vipi maisha ya huko

Hapa tupate kujua unapendelea safari na kampuni gani au shirika gani la.ndege ni lipi unalichukia na kwanini??

Mji gani umekaa, je umewahi kubaguliwa?

Unaishi na kina nani huko, masela, umepanga kwako, au unaishi na familia yako,

Mara ya kwanza kupanda pipa nani alikupa mchongo mpaka huko ulipo?

Umewahi pata changamoto yeyote na uliikabili vipi

Je ulisumbuka kupata kibali cha kuishi hapo??
Na wale wa boder za nchi kavu karibu

Kuna mengi sana ya kushare hapa

luambo makiadi Jon Stephano Kiranga Nyani Ngabu Witness ponela venchwa
Hapa tutapata mauzoefyu
 
Back
Top Bottom