venchwa
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 1,677
- 1,596
Mkuu ni changi, Kuala Lumpur ni malaysia, japo nako naibuka sana kutumia boatmchongo wa maisha ukawaje hapo Kuala Lumpur?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni changi, Kuala Lumpur ni malaysia, japo nako naibuka sana kutumia boatmchongo wa maisha ukawaje hapo Kuala Lumpur?
Uzi huu huu bananaMkuu Wa Koromije Reply Zetu Tunaziweka Wapi
bongo siikimbii December lazma natinga home sweet home Kilimanjaro kuchek mambo yanguNdiyo mkuu kwahiyo bongo ndo umepakimbia kabisa?
Ulikula sana Mukimo na githeriKwahiyo sis tunaoishi kenya kuna nafasi yetu hapa?
Nimeishi sana kericho, Nairobi eneo linaitwa Kayole, kule kuna kaanjoo kibao, ila wanapenda sana rushwa, wanaomba 500 ksh ni constant, nimezagaa Sana koinange kupata totoz kipindi sijaoa
We si unamshangilia Moudguful daily, na hapa kazi tuuu hahahahaa unatoroka kwenda wapi sazaKiukweli sijawahi kutoka nje ya Tanzania nimekuja tu kuweka comment yangu ila jaman ndugu zangu Kama Kuna michongo huko juu nisaidieni na Mimi nipate hata kazi huko maana huku bongo sio pazuri sana.elimu yangu ordinary diploma in hydrology and meterology.asante
hahaha VP ukijafika Norway,?Uzi huu huu banana
Watanzania ndo wajojo? Au kwasababu ya mkuu wa wilaya ya kisarawe?Mimi nimewahi kuishi Msumbiji Mji wa Msimbwa askari wao washari sana, watanzania wanatuita Wajojo
Nimeshafika ila bado vibali ni ishu mzee lakin mwezi unaokuja nakamilisha, angalau permit miaka yangu kadhaahahaha VP ukijafika Norway,?
VP hapo dotnesk pAlijazingua? hutatoa mrejesho
Kwahiyo sis tunaoishi kenya kuna nafasi yetu hapa?
Nimeishi sana kericho, Nairobi eneo linaitwa Kayole, kule kuna kaanjoo kibao, ila wanapenda sana rushwa, wanaomba 500 ksh ni constant, nimezagaa Sana koinange kupata totoz kipindi sijaoa
Huko mpaka kuzamia labdaCanberra ndani ya Australia,takon.i mwa dunia hiyo...kazi zipo nyingi sema ni mbali mno..hasa kwa usafiri wa kuja na meli..
Anasemaje tereza may au siyo wa huko nimechanganya mafailimwenye kutaka kujua lolote kuhusu GLASGOW,UK karibu sana
bora ungetoka Ukonga (UK) ungeeleweka.Sisi wa Vingunguti kwa simba haturuhusiwi mkuu???
Jon nadhani bado yuko hapo hapo Denmarkki Iceland kigumu ee
hebu tuambie maisha ya kule yakoje
mm sweden nimefika mji wA malmo
Denmark nimefika aarus kwenye peninsula very amazing
Hahahahaabora ungetoka Ukonga (UK) ungeeleweka.
Inaonekana kwa jF unaongoza kwa safari wewe na BritannicaWrite your reply...
umefanya LA maana mno kuweka hii thread
Mimi kwasasa makao yangu ni cologne
mchongo wa kazi ktk shirika Alinichongea ndugu yangu ambaye ni padre huku,nimetembea nchi mbalimbali duniani kwa kazi za shirika letu
Mimi mostly natembea nchi nyingi kwakuwa nipo kitengo cha research
changamoto ni lugha kijerumani kigumu mno heri kifaransa
lkn ktk shirika letu official languages ni Spanish French English,Latin na kireno
sipati shida Sana
visa yangu natembea nchi nyingi duniani
Kayole huko ndo Tandale ya NairobiKwahiyo sis tunaoishi kenya kuna nafasi yetu hapa?
Nimeishi sana kericho, Nairobi eneo linaitwa Kayole, kule kuna kaanjoo kibao, ila wanapenda sana rushwa, wanaomba 500 ksh ni constant, nimezagaa Sana koinange kupata totoz kipindi sijaoa
Hapa tutapata mauzoefyuKwa wale wote ambao mko nje ya Tanzania hapa panawahusu
Kwanza tunataka kujua uzoefu changamoto zenu na mnayakabili vipi maisha ya huko
Hapa tupate kujua unapendelea safari na kampuni gani au shirika gani la.ndege ni lipi unalichukia na kwanini??
Mji gani umekaa, je umewahi kubaguliwa?
Unaishi na kina nani huko, masela, umepanga kwako, au unaishi na familia yako,
Mara ya kwanza kupanda pipa nani alikupa mchongo mpaka huko ulipo?
Umewahi pata changamoto yeyote na uliikabili vipi
Je ulisumbuka kupata kibali cha kuishi hapo??
Na wale wa boder za nchi kavu karibu
Kuna mengi sana ya kushare hapa
luambo makiadi Jon Stephano Kiranga Nyani Ngabu Witness ponela venchwa
Napajua piaWewe Kayole nilikaa sana , Kenya kuzuri yani ni bonge la chuo