ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Braza Magufuli anafanya yake kwa ajili ya watu na anafanya vizuri Sana.lakini na Mimi natakiwa nifanye yangu kama Kuna fursa sehemu ambayo naweza kuwekwa nikafanya kazi kwa maslahi mazuri itanibid niendeWe si unamshangilia Moudguful daily, na hapa kazi tuuu hahahahaa unatoroka kwenda wapi saza
Sio kweli,na Kubera utasema je?Kayole huko ndo Tandale ya Nairobi
Kamanda niaje mzee wa nchi ya ahadiHahahahaa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]bora ungetoka Ukonga (UK) ungeeleweka.
Reykjavik ni poa. Hasa ni mji wa watalii. Nilikuwa napiga black job restaurant vyombo. Vitu ghali hasa msosi. Wana supermarket yao moja inaitwa badget ndio inaunafuu ila inafungwa mapema sana saa 12 jioni. Reykjavik ni mji simple sana hamna hata train wala tram. Icelandic are friendly and smiling.ki Iceland kigumu ee
hebu tuambie maisha ya kule yakoje
mm sweden nimefika mji wA malmo
Denmark nimefika aarus kwenye peninsula very amazing
Reykjavik ni poa. Hasa ni mji wa watalii. Nilikuwa napiga black job restaurant vyombo. Vitu ghali hasa msosi. Wana supermarket yao moja inaitwa badget ndio inaunafuu ila inafungwa mapema sana saa 12 jioni. Reykjavik ni mji simple sana hamna hata train wala tram. Icelandic are friendly and smiling.
Kilichonipeleka Icelend reykjavik ni mzigo boks tatizo jama yangu ambaye ningefikia kwake hakunipokea airport na nilimisplace wallet yangu. Ila kuna jama anaendesha teksi msenegal anaitwa Mo ksma kunambongo anaish reykjavik atamjua. Jamaa alinisadia sana. Natakaga kuleta uzi wa experience ya icelend ila nakuwa mvivu
Sisi wa Vingunguti kwa simba haturuhusiwi mkuu???
Mkuu Wa Koromije Reply Zetu Tunaziweka Wapi
Shemeji kwani tu natokea kitaa kimojaMkijibiwa mniite
Natamani sana kufika Australia siku moja hasa Perth Melbourne na Sydney. Maisha nasikia ni cheap ukilinganisha na nch zingine zilizoendeleaCanberra ndani ya Australia,takon.i mwa dunia hiyo...kazi zipo nyingi sema ni mbali mno..hasa kwa usafiri wa kuja na meli..
Tupo karibu shemeji mm natokea machinjioniShemeji kwani tu natokea kitaa kimoja
Sijakaa sana zaidi ya wiki ila naendaga mara kwa mara. Hataniluvyokuwa nasafiri Reykjavik napanda ndege Arlanda kitu iceland badget airline Wow air masaa 3 na nusu hadi reyjavik yani juu na mbali na only five hrs to NY from ReykjavikKumbe mkuu umewahi kaka Sweden?? Ni miaka ipi?? Nimekaa Sweden mwaka 2006-2009 skövide, hullsberg, na hedemora
Dah mwanangu umenikumbusha Arlanda airport, japo si kubwa kama Stockholm lakin pako cool, nimepiga naenda Jokkmokk kaskazini kabisa kwa Sweden kumuona rafiki yangu kipenzi ambaye alikaribia kuvunja ndoa yanguSijakaa sana zaidi ya wiki ila naendaga mara kwa mara. Hataniluvyokuwa nasafiri Reykjavik napanda ndege Arlanda kitu iceland badget airline Wow air masaa 3 na nusu hadi reyjavik yani juu na mbali na only five hrs to NY from Reykjavik
mkuu Kiranga niko states. Last week nilicheza megamillions na poweball nikatoka kapa.Kiranga anaamgalia kulia na kushoto,huku akijiuliza "Watu wasiojulikana hawapo hapa?"
Ilikua 2003 hiyoWatanzania ndo wajojo? Au kwasababu ya mkuu wa wilaya ya kisarawe?
Lete tujifunze through threadsNatakaga kuleta uzi wa experience ya icelend ila nakuwa mvivu
mkuu Kiranga niko states. Last week nilicheza megamillions na poweball nikatoka kapa.
Ila tayari nimeshanunua tiketi ya megamillions 1.6 B $ ya tuesday draw na powerball 600 m $ ya wednesday draw. Nimesafiri na mwenyej wangu state flan ukishinda hawakutangaz hadharan.
Niombee
Poa mkuu ngoja nitulie ila ile experience ilikuwa kali. NtakutagLete tujifunze through threads
[emoji23][emoji23]Sisi wa Vingunguti kwa simba haturuhusiwi mkuu???