Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
achana na akili ya ki ccm upate shavu fastaKiukweli sijawahi kutoka nje ya Tanzania nimekuja tu kuweka comment yangu ila jaman ndugu zangu Kama Kuna michongo huko juu nisaidieni na Mimi nipate hata kazi huko maana huku bongo sio pazuri sana.elimu yangu ordinary diploma in hydrology and meterology.asante