achana na akili ya ki ccm upate shavu fastaKiukweli sijawahi kutoka nje ya Tanzania nimekuja tu kuweka comment yangu ila jaman ndugu zangu Kama Kuna michongo huko juu nisaidieni na Mimi nipate hata kazi huko maana huku bongo sio pazuri sana.elimu yangu ordinary diploma in hydrology and meterology.asante
Yap ukiwa na passport ya EU ama Norway Switzerlend lietchtestein kokote duniani unaingia bila visa. Australia unaweza ukafanya kazi na ikaishi two years nakuomba permanent residence.
Ila passport hizi bado zinautata za Romania Bulgaria na croatia lazima maswali mengi utaulizwa licha ya wa wao kuwa EU kuna procedure flan inabidi wafuate
Riga Latvia ushafika? Ila natamani sana tena kwa sana kufika kwa bibi has kutokea paris kupitia chini ya maji kwenye ile tunnel.
Natamani sana yani hadi skotlend kwenye yale macastle
visa yangu naingia Canada na USA mda wowote
visa ya Mjerumani ni noma
Ingawa sijawahi kufika Ulaya wala Amerika ,Ila hz nchi chache za ki Africa ,central ,east na north ,kitu ambacho sitaki na huwa sifanyi ni kujaribu kukutana au kujenga mazoea na mbongo ,sipotezi huo muda
Habari ya hukoMkuu wabongo nje ya nchi hawana maana, mimi wakati nasoma nje ya nchi nilikuwa nakutana nao madukani ila walikuwa hawajuwi kama mimi ni mbongo. Nawasikia tu wakiongea Kiswahili na kusemana, nilikataa kata kata kutojihusisha nao kwani kaka yangu alinionya mno kutojihusisha nao pamoja na West Africans haswa Nigerians.
Ila mjerumani hana noma kama upo Ok, wallahi.
Nchi tajiri kwa kila kitu.
Europe economic powerhouse.[/QUOTE
]exactly
Yap ukiwa na passport ya EU ama Norway Switzerlend lietchtestein kokote duniani unaingia bila visa. Australia unaweza ukafanya kazi na ikaishi two years nakuomba permanent residence.
Ila passport hizi bado zinautata za Romania Bulgaria na croatia lazima maswali mengi utaulizwa licha ya wa wao kuwa EU kuna procedure flan inabidi wafuate
Unaenda tafuta ukimwiNext week naenda Ukraine
Unafanya nini h ukoNipo kwa Mikkel
Kumbe kuna ukimwi uko?Unaenda tafuta ukimwi
Kuna mshikaji wangu anasoma ukoKuna MTU humu anaishi Japan natamani sana kwenda huko likizo
Yupo Kagoshima auKuna mshikaji wangu anasoma uko
YokohamaYupo Kagoshima au
Angalia statistics ndo insongoza europeKumbe kuna ukimwi uko?
PhdUnafanya nini h uko