Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
- Thread starter
-
- #281
Subiri kidogoPia mwenye nyimbo za Charles jangalason albamu ya vaa kiatu naomba nyimbo zake aiseee nimezitafuta sana sijazipata
Kuna nyimbo Kama vaa kiatu , kajumba kadogo nk mwenye nazo please
Ingia tubidy.mobi search utazikutaKama kuna mtu ana nyimbo zifuatazo anisaidie
"ohooo lulu iko mbinguni"
"katika viumbe vyote vilivyoumba binadamu kaumbika kuliko vyote"
"malebo kakataa kuokoka"
Sikumbuki majina ya walioimba ni akina nani, kichwa changu memory yake ndogo ni 2GB na kimejaa kwa sasa, mnisamehe
Kulikuwa na kwaya moja inaitwa Mhubiri pale Mazengo, Dodoma. Kiongozi wake alikuwa mwalimu wa Mazengo Sec. alisha fariki aliitwa Hema. Walirecord pale Redio Tanzania Dodoma 1989 Zile nyimbo zilibaki moyoni mwangu ila sina copy. RT inaweza kutupatia hizo nyimbo? Kuna wimbo unasema Nikupe nini mwili?Pamoja Mkuu!
Safi wote wangekuwa wanaweka link ya kudownload ingependeza zaidi.Ulyankulu mmoja wao wanasheria
Hebu nitafute whatsapp 0752220649 nimeshindwa kuuweka hapa mkuuNtashukuru sana
Tumia Web browser yeyote au Jamiiforums app!0624688011Hebu nitafute whatsapp 0752220649 nimeshindwa kuuweka hapa mkuu
Nimeanzisha group link ya kujoin hiyo hapo karibuni tufurahie zaidi nyimbo zetu za kale
Baba heri join group utuwekee na mie nautakaHebu nitafute whatsapp 0752220649 nimeshindwa kuuweka hapa mkuu
Yohana ingia kwenye group mkuu uniwekee hizo nyimbo za jangalason nazipenda kweliSubiri kidogo
Limeundwa tayari angalia link hapo juu uingieWadau waliopendekeza group la whatssapp imeundwa?
Asante Mkuu kwa Kuanzisha Ilo Kundi la Whatsapp!Limeundwa tayari angalia link hapo juu uingie
Ubarikiwe mkuuAsante Mkuu kwa Kuanzisha Ilo Kundi la Whatsapp!
Mkuu heaven sent tutafurahi ukiwa nasi kwenye group utupe hizo nyimbo piaSauli Sauli mbona waniudhi
Sauli wawatesa watu wangu
Bwana kachukizwa sana, kamwambia Sauli
Mimi ndimi Yesu unayeniudhi
Ole wako wewe, unayemuudhi
Bwana Mungu wako utahukumiwa