Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Pia mwenye nyimbo za Charles jangalason albamu ya vaa kiatu naomba nyimbo zake aiseee nimezitafuta sana sijazipata
Kuna nyimbo Kama vaa kiatu , kajumba kadogo nk mwenye nazo please
Subiri kidogo
 
Kama kuna mtu ana nyimbo zifuatazo anisaidie
"ohooo lulu iko mbinguni"
"katika viumbe vyote vilivyoumba binadamu kaumbika kuliko vyote"
"malebo kakataa kuokoka"

Sikumbuki majina ya walioimba ni akina nani, kichwa changu memory yake ndogo ni 2GB na kimejaa kwa sasa, mnisamehe
Ingia tubidy.mobi search utazikuta
 
Eeh bwana nisaidie...
Mungu unihurumie..
Nainua mikono yangu juu, naleta sara yangu.....Mimi...

Kama kuna mtu anaweza kunisaidia jina LA huu wimbo.
 
Back
Top Bottom