Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Kuna mwimbo wa 90's jina siujui ila nakumbuka chorus
"Ninyime ugalii ninyime samakiii niaa chiee yesuu..ukininyima ugalii sita kufanjaaa ...ukininyima samaki sita kufa njaaa...ninyime ugali ninyime samaki niaa chie yesuu.."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…