mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,658
- 8,994
Uko vizuri mpendwa Bwana Yesu asifiweHii mingine miwili
1. Parapanda ya Bwana italia siku ile
Atakaporudi Yesu kuchukua kanisa lake
Tujitayarisheni, siku hiyo ya kutisha
Ole kwa wale wote, wasiomuamini Yesu
Ndipo Bwana atasema ondokeni kwangu,
Ninyi nyote mliolaaniwa na Baba yenu,
Wataomboleza na kusaga meno, watakapotupwa kwenye moto wa milele....
2. Unafikiria nini, ulimwengu ni wa shida
Tena unajidanganya wewe, na mambo ya ulimwengu
Kanisani umeacha ulikuwa unategemewa. ...............