Uko vizuri mpendwa Bwana Yesu asifiweHii mingine miwili
1. Parapanda ya Bwana italia siku ile
Atakaporudi Yesu kuchukua kanisa lake
Tujitayarisheni, siku hiyo ya kutisha
Ole kwa wale wote, wasiomuamini Yesu
Ndipo Bwana atasema ondokeni kwangu,
Ninyi nyote mliolaaniwa na Baba yenu,
Wataomboleza na kusaga meno, watakapotupwa kwenye moto wa milele....
2. Unafikiria nini, ulimwengu ni wa shida
Tena unajidanganya wewe, na mambo ya ulimwengu
Kanisani umeacha ulikuwa unategemewa. ...............
Huyu jamaa alikuwa anaitwa chande nadhanimwenye nyimbo za kwenye album ya Rafiki pesa anisaidie aise
Hahahaha rudi kundini basi mpendwax mas enzi hizo nipo mkristo aisee
Mdau jina lako halisi nani Mtangoo?Kuna huu pia kwa wale wa zama hizo
Unaweza wa Fanuel Sedekia wa mwaka 1992..
Hapo nilikuwa najifunza kupiga gitaa na kinanda kanisani Lutheran church Babati nikiwa hapo class 2..
Na Mimi Kuna Nyimbo Natafuta:
Ule Unaosema "...Adamu,Adamu Adamuu Mböa Umekula Wewe!Eva,Eva Evaaa,Mbona Umekula Wewe!
asante mkuu!huo ni wimbo...sio nyimbo
Hapana. Huyo ni mkenya Shari MartinHuyu jamaa alikuwa anaitwa chande nadhani
Nilikuwa na rafiki yangu
Rafiki pesa tulipendana sana
Maisha yangu yalikuwa mazuri
Nitakacho hunipatia
kama zipi!Hapana. Huyo ni mkenya Shari Martin
AmeeeeenUko vizuri mpendwa Bwana Yesu asifiwe
Za sifa na zakuabudu.ila sio za kikatolikikama zipi!
Hizi ndizo kweli 'Old is Gold'Cosmas Chidumule!
Yanini Magonjwa!
Unapendekeza New School Tuweke za Kuanzia Miaka Ipi?Hizi ndizo kweli 'Old is Gold'
Mkuu kuna baadhi wanaomba nyimbo za siku hizi/New or Latest
Ombi Mkuu unaweza tenganisha hili ukawa na ' Nyimbo za Injili - Old is Gold na New or latest Gospel'
Tusichanganye mambo Mkuu tafadhali maana kuna muziki wa Injili wa kutangaza injili na muziki wa Injili biashara. Kuna Mkuu mmoja alisema ' huu ni muziki wa Injili kweli tuepukane na wapaka poda'
Mkuu kuanzia 2000 tafadhali. Shukrani!Unapendekeza New School Tuweke za Kuanzia Miaka Ipi?
Yesu ni Bwana Cosmas ChidumuleMkuu hii link yako inazingua