hahaha,kweli mkuu mimi ndio kumbukumbu ambayo nikiskiza nakumbuka vitu mama alikua anafanya enzi za uhai wake (R.I.P)mkuu hii inananikumbusha zama hizo bush,bimkubwa alikua anaificha hii kanda ili tusiiharibu
duuh,pole mkuu kwa tukio hilo la kumpoteza bi mkubwa.ila kwaya za zamani zilikua kwaya kweli sio hawa wacheza shoo wa zama hizi kazi kelelee tuuuhahaha,kweli mkuu mimi ndio kumbukumbu ambayo nikiskiza nakumbuka vitu mama alikua anafanya enzi za uhai wake (R.I.P)
asante mkuu,kuna zile kwaya zilikua zarekodi redio habari maalum arusha. hakika zinabariki sanaduuh,pole mkuu kwa tukio hilo la kumpoteza bi mkubwa.ila kwaya za zamani zilikua kwaya kweli sio hawa wacheza shoo wa zama hizi kazi kelelee tuuu
huu unaweza kuwa mzuri kwakoNa mimi naomba mwenye nyimbo bora kabisa za kwaresma anisaidie. Na kuna mwingine wa majivu.
Kama hutajari nimp namba yako ya whatsapp nitashare naweNa mimi naomba mwenye nyimbo bora kabisa za kwaresma anisaidie. Na kuna mwingine wa majivu.
Kama hutajari nimp namba yako ya whatsapp nitashare naweNa mimi naomba mwenye nyimbo bora kabisa za kwaresma anisaidie. Na kuna mwingine wa majivu.
mkuu na mimi nashida na wimbo unaitwa "asilegee moyo" na "pasipo makosa"Kama hutajari nimp namba yako ya whatsapp nitashare nawe
Sawa mkuu ntabadili soon!Mpagani[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Jina lako hilo badili mkuu
Naomba uni add kwa namba hii ktk WhatsApp,0715251252Mkuu salaam,nilivamiwa na vibaka wakachukua cm zote na vitu vingine,sasa naomba tena ule wimbo wa (mchaka mchaka mkimbilie Yesu)