Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,644
- 1,648
Natafuta nyimbo za tenzi..au instrument zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natafuta nyimbo za tenzi..au instrument zake
Asante sana. Ubarikiwe sana.Wadau.. Majukumu yalibana, na mishe za Pasaka.. Nimemalizia mzigo
Thanks mkuuWadau.. Majukumu yalibana, na mishe za Pasaka.. Nimemalizia mzigo
Halichachi ndio hilo limekata labda ajiunge Hatupimi bandoJiunge halichachi
Mkuu ubarikiwe sana!Ya tatu
Mkuu nilisoma shule ya msingi Babati kukiwa na kina mwalimu Lawi, Ufoo,Mashausi Kitundu,Isaka na wengineo kibao...tufatane PM mkuu...nilikuwa nakaa mitaa ya kanisani Lutheran na tulikuwa tunaimba na kujifunza kupiga vyombo na watoto wa mchungaji Mjema