Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Kuna nyimbo wameimba naioth prophet singers angukia mikononi mwa bwana.

Victoria singers nyimbo yoyote kwenye album ya Television ya maisha
Mkuu Hao naioth singer Nina album yao yote.. Sema nashindwa weka, yaani Ku upload
 
Mkuu Hao naioth singer Nina album yao yote.. Sema nashindwa weka, yaani Ku upload
Kama unatumia jamii forum app ni ngumu ku-upload inatakiwa uingie kwa kutumia browser ya kawaida (eg chrome, mozilla). Kama bado itasumbua ni quote nikutumie namba unirushie kwa whatsapp
 
Wakuu Heri ya Pasaka,
Naomba mwenye wimbo wa Matilda Mlay Jojo ujulikanao kama UNAWEZA TENA auweke humu.
 
Kuna kikundi cha kwaya sikikumbuki waliimba nyimbo hii " Ng'oa kwanza boriti kwenye jicho lako, ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako" nyingine ilienda hivi "Yesu alitembea kando ya galilaya aliwaona wavuvi simon mmoja wao. Simon Yesu alimwita, Simon, Simon Simon nifwate utakuwa mmoja wao...." 80s nilikuwa mdogo sana maneno nyimbo zilikuwa nzuri sana
 
Wimbo unaitwa Shida na Matatizo, uliimbwa na AICT Shinyanga Choir 1997, nikiupata nitauweka
 
Jitaid umalizie hizo zilizobaki maana zimenikumbusha mbali nyimbo hizi. Chonde chonde ukiweka bando malizia.
 
Wadau.. Majukumu yalibana, na mishe za Pasaka.. Nimemalizia mzigo
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…