Safi Yohana....mimi naanza na Tumaini, St james.Wakuu,
Ninawiwa Kuhuanzisha Uzi Huu Ili Kuwaleta Karibu Wapenzi wa Nyimbo Za Injili za Zamani!
From the 80s,90s and the Early 2000s!
Kuanzia Barabara 13,Aict Shinyanga,Kijitonyama Upendo Group,Na N.k!
Naoma Tubadlshane Audios,Videos na Picha Waimbaji wa Zamani!
Old is Gold!
Tupia mkuu, audioAudio au Video?
Mkuu,nimekuwekea hapo,chini ni Kwaya ya Vijana KKKT Mabibo!Dah, umenikumbusha mbali sana mkuu, nimetoa na machozi, dah!!
Dah, old is gold aiseee.Kama kuna mtu ana nyimbo zifuatazo anisaidie
"ohooo lulu iko mbinguni"
"katika viumbe vyote vilivyoumba binadamu kaumbika kuliko vyote"
"malebo kakataa kuokoka"
Sikumbuki majina ya walioimba ni akina nani, kichwa changu memory yake ndogo ni 2GB na kimejaa kwa sasa, mnisamehe
Mkuu,nimeweka video,waweza kutumia any Mp4 to Mp3 Converter au 3GP To MP3 Converter na Kuupeleka Kwenye Audio!Tupia mkuu, audio
Ahahaha,mie makamasi yananitoka!Dah, umenikumbusha mbali sana mkuu, nimetoa na machozi, dah!!
afrodenziAmen...
Cc: afrodenzi
Cc: Otorong'ong'o
Cc: Matola
Huu uwimbo na sauti ya huyu dada imenisafisha roho yangu kabisa. ...dah! Amen RANa hii mnaikumbuka?
Utaratibu Utafanyika Mkuu!kwakweli wewe uliyetoa huu Uzi ubarikiwe mimi nashauri ufungue group la Whatsap Mkuu na uwe Wa kwanza kuniadd 0688 990 975 ..
wakati huo huo.. mwenye wimbo Wa hati ya mashtaka auweke Hapa.
Ahsante Mbee
Pamoja Mkuu!