Natafuta nyimbo moja walikua wanaimba hiviWakuu,
Ninawiwa Kuhuanzisha Uzi Huu Ili Kuwaleta Karibu Wapenzi wa Nyimbo Za Injili za Zamani!
From the 80s,90s and the Early 2000s!
Kuanzia Barabara 13,Aict Shinyanga,Kijitonyama Upendo Group,Na N.k!
Naoma Tubadlshane Audios,Videos na Picha Waimbaji wa Zamani!
Old is Gold!
zipo, fungua dmnataka nyimbo za miaka ya 80s na nyuma
Sijaelewa uliposema kwaya ya ki-katoliki wakati wenzetu wakiomba wanataja tu jina la Kwaya ama Bendi, is it so special?Kuna album moja ya kwaya ya kikatoliki ina nyimbo za christmass tupu. Kuna nyimbo kama ni usiku wa manane, amkeni,hongera eh Maria,haya twendeni wote bethelehemu n.k
Nimesahau jina la hiyo kways ila ni ya hapa hapa dsmsijaelewa uliposema kwaya ya kikatoliki wakati wenzzetu wakiomba wanataja tu jina la kwaya ama bendi, is it so special?
Zambia hiyo mkuuKuna album moja ya Adona Pentecostal Kibao Cha kwanza linaitwa SITASAHAU HURUMA ZA BWANA alafu Mwisho kabila ameimba sijui kikabila gani SHAKALABE
Naomba kujua alipo huyo binti wa kikristonaomba wimbo wa Beatrice muhone unaitwa hakuna rafiki kama yesu
Naomba habari za muhone yupo wapi siku hizinatafuta wimbo wa dini ameimba Beatrice muhone
anaimba hivi
hakuna rafiki kama yesu
yu pekee yu pekeee
Hujazipata?Nilijua hizo nyimbo waliimba wakenya
kuna ALBUM naitafuta sijui iliimbwa na kwaya gani. ndani yake kuna nyimbo: HII NI SIKU YAKO (CHAGUA NJIA MOJA), DUNIA IMEKWISHA, NYOTA YA MASHARIKI (BETHLEHEMU?) wimbo uliobeba albamu ni DUNIA IMEKWISHA. yeyote anayeweza kunisaidia kuipata naomba afanye hivyo. mbari
Hii kwaya ilikuwa inaitwa KPC KIBAHA. Ina nyimbo kama:kuna ALBUM naitafuta sijui iliimbwa na kwaya gani. ndani yake kuna nyimbo: HII NI SIKU YAKO (CHAGUA NJIA MOJA), DUNIA IMEKWISHA, NYOTA YA MASHARIKI (BETHLEHEMU?) wimbo uliobeba albamu ni DUNIA IMEKWISHA. yeyote anayeweza kunisaidia kuipata naomba afanye hivyo. mbarikiwe
Ninazo nyimbo zote.Kuna kwaya moja ya 90's ilikua Arusha inajiita HURU SINGERS naskia walikua madada wa kizungu. Wana vibao vyao vya kiroho kama JINA LA YESU, HAKUNA MUNGU KAMA WEWE, ROHO MTAKATIFU, DAMU YA YESU na nyingine kibao. Atae vipata jamani anisaidie.
Upo sahihi kabisa.Thanks, Mungu awabariki sana naenjoy hapa,
hizi ndizo nyimbo zilizotungwa kumtukuza Mungu wa kweli sio hawa bongo fleva wa leo macho kodo kwenye hela tuu!
Kuna mtu nimemuuliza hili swali kuhusu huo wimbo leo hii. Akawa anasema inawezwkana ni “mamajusi”, nikawa ya ku google ndo nikafika kwenye hii thread.Kuna wimbo ulikuwa unaimbwa nakumbuka chorus yake tu.
"Tazameni ndege wa angani, hawapandi wala hawavuni lakini Mungu anawalisha nao hao"
Nimeweka sauti ili kama kuna mtu anakumbuaka anisaidie.