Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Wakuu, Kuna kway ya zamani jina silikumbuki lakini walitoa album ilikua inaitwa "pesa" na yimbo za ni, mwana mke msamaria, pesa ni maua, msifadhaike miyoni mwenu, yesu ndie njia ya kweli na uzima, anae ifaham. Please naomba msaada na njinsi ya kupata hizo nyimbo
 
Wakuu,
Ninawiwa Kuhuanzisha Uzi Huu Ili Kuwaleta Karibu Wapenzi wa Nyimbo Za Injili za Zamani!
From the 80s,90s and the Early 2000s!
Kuanzia Barabara 13,Aict Shinyanga,Kijitonyama Upendo Group,Na N.k!
Naoma Tubadlshane Audios,Videos na Picha Waimbaji wa Zamani!
Old is Gold!
Natafuta nyimbo moja walikua wanaimba hivi

" mimi nikijiona nikama sitakufa kumbe najidanganya maisha sio kitu mali zangu zote watachezea wengine"

Nakumbuka tuu hivyo vipande Ila kwaya nime isahau naomba hii nyimbo
 
Kuna album moja ya kwaya ya kikatoliki ina nyimbo za christmass tupu. Kuna nyimbo kama ni usiku wa manane, amkeni,hongera eh Maria,haya twendeni wote bethelehemu n.k
Sijaelewa uliposema kwaya ya ki-katoliki wakati wenzetu wakiomba wanataja tu jina la Kwaya ama Bendi, is it so special?
Uajivunia dini badala ya wokovu?
Yesu alikuja wenye dini tena WARUMI walimuua, Pilato na Wenzake , Kayfa ni warumi.
 
Wakuu naombeni wimbo wa piga simu wa golden gate ya uganda, barikiweni sana
 
kuna ALBUM naitafuta sijui iliimbwa na kwaya gani. ndani yake kuna nyimbo: HII NI SIKU YAKO (CHAGUA NJIA MOJA), DUNIA IMEKWISHA, NYOTA YA MASHARIKI (BETHLEHEMU?) wimbo uliobeba albamu ni DUNIA IMEKWISHA. yeyote anayeweza kunisaidia kuipata naomba afanye hivyo. mbari

kuna ALBUM naitafuta sijui iliimbwa na kwaya gani. ndani yake kuna nyimbo: HII NI SIKU YAKO (CHAGUA NJIA MOJA), DUNIA IMEKWISHA, NYOTA YA MASHARIKI (BETHLEHEMU?) wimbo uliobeba albamu ni DUNIA IMEKWISHA. yeyote anayeweza kunisaidia kuipata naomba afanye hivyo. mbarikiwe
Hii kwaya ilikuwa inaitwa KPC KIBAHA. Ina nyimbo kama:
1. Dunia Imekwisha
2. Chagua njia moja tu.
3. Na huko Yerusalemu.
4. Kwa mtini jifunzeni.
5. Upendo wa Mungu wetu.
6. Wateule wote imbeni.
7. Napenda niseme nanyi.
8. Yesu mwokozi atakaporudi.
9. Ee Bwana wewe ndiye mwokozi.
10. Ana heri mtu yule.
11. Mamajusi wa mashariki.
12. Mungu wetu wa ajabu.

Nyimbo zote hizi ninazo. Weka namba yako ya whatsapp nitakutumia. Nahitaji hela ya bando tu au unaweza kuninunulia bando la MBs wewe mwenyewe itakuwa vyema.
 
Kuna wimbo ulikuwa unaimbwa nakumbuka chorus yake tu.
"Tazameni ndege wa angani, hawapandi wala hawavuni lakini Mungu anawalisha nao hao"
Nimeweka sauti ili kama kuna mtu anakumbuaka anisaidie.
 
Kuna wimbo ulikuwa unaimbwa nakumbuka chorus yake tu.
"Tazameni ndege wa angani, hawapandi wala hawavuni lakini Mungu anawalisha nao hao"
Nimeweka sauti ili kama kuna mtu anakumbuaka anisaidie.
Kuna mtu nimemuuliza hili swali kuhusu huo wimbo leo hii. Akawa anasema inawezwkana ni “mamajusi”, nikawa ya ku google ndo nikafika kwenye hii thread.
 
Back
Top Bottom