Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza ( Animation ) Motion Graphic kwa kutumia Cinema 4D

Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza ( Animation ) Motion Graphic kwa kutumia Cinema 4D

Mdogo mdogo utafanikiwa.
Unatumia PC ya namna Gani?

Jitahidi kupata access ya bando la internet maana mwalimu ni YouTube.

Na kushauri tumia blender coz ni Free, alafu Hata baadhi ya Add-on zake nyingi ni Free, cinema4D fully version inabidi ulioie, Sio mbaya SEMA plugin zake nyingi ni za kununua pia.

Alafu tutorial za blender ni nyingi kuliko za cinema4D Kwa upande wa textures and colors, lighting, rendering, scurplituring, VFX, motion graphics, modeling
Ok mkuu
Natumia accer aspire V3
 
Back
Top Bottom