UZi MAALUMU kwa ajili ya kusalimiana kwa lugha za makabila yetu

UZi MAALUMU kwa ajili ya kusalimiana kwa lugha za makabila yetu

Nianze na kabila langu kubwa la wasukuma

"mwangaroka bhadugu bhane"
"Yani habari zenu ndugu zangu"

Tuendeleze Sasa makabila mengine kwa salamu....
Delo bhabha, odelile mhola ahene bhageshi....?
 
Izaa du mbwanewe .....mupanga?
Nakuongeza kwenye orodha yangu ya "WASUMBATI"
20240710_130350.jpg
 
Back
Top Bottom