hahaha kamatia fursa[emoji3][emoji3][emoji3]Kuna siku nimeingia masjid flani kuswali daahhh kucheki pembeni namuona jamaa mkristo kabisa anasali vizuri sana km muislamu!nikavunga maana nilijua muda huu jamaa kafata ftari maana ilikuwa sala ya saa 1.maakuli yalivyoshushwa pale ye ndo namba moja kufakamia maftari nikawa nacheka tuu.baadae nikamuuliza vipi jombii akabaki anachekaa tuu huku ananijibu asee napenda ftari sana
Nipogo ndg yangu,mozambique njaa tu kaka deni la Taifa ni US$ 10b wajanja walijikopesha ndio tunahangaika kulilipa hutujui litaishi lini,wazungu wamegoma kutukopesha mpaka tuoneshe hizo hela tumezifanyia niniWe jamaa hivi upo Jf bado kumbe? Kitambo sana chief..za Mozambique
Tunakula ndgVp makande mnakula?
Kulog in na mfungo ni nouuuuma!Mzee uNalog off sana, mbona hatuoni uNalog in.
Futari tamu sana KakaKuna siku nimeingia masjid flani kuswali daahhh kucheki pembeni namuona jamaa mkristo kabisa anasali vizuri sana km muislamu!nikavunga maana nilijua muda huu jamaa kafata ftari maana ilikuwa sala ya saa 1.maakuli yalivyoshushwa pale ye ndo namba moja kufakamia maftari nikawa nacheka tuu.baadae nikamuuliza vipi jombii akabaki anachekaa tuu huku ananijibu asee napenda ftari sana
Kuna watu wanapenda ule uji wa pilipili mangaFutari tamu sana Kaka
Nalog off
Waambie wakuje tuyapangeMakobe mnaitwa huku na kobe mwenzenu,
Nalog off
Waambie wakuje tuyapangeMakobe mnaitwa huku na kobe mwenzenu,
Nalog off
Ule uji Mie siuweziKuna watu wanapenda ule uji wa pilipili manga