adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,638
Kuna siku nimeingia masjid flani kuswali daahhh kucheki pembeni namuona jamaa mkristo kabisa anasali vizuri sana km muislamu!nikavunga maana nilijua muda huu jamaa kafata ftari maana ilikuwa sala ya saa 1.maakuli yalivyoshushwa pale ye ndo namba moja kufakamia maftari nikawa nacheka tuu.baadae nikamuuliza vipi jombii akabaki anachekaa tuu huku ananijibu asee napenda ftari sana