Uzi maalumu kwa makobe

Uzi maalumu kwa makobe

Kuna siku nimeingia masjid flani kuswali daahhh kucheki pembeni namuona jamaa mkristo kabisa anasali vizuri sana km muislamu!nikavunga maana nilijua muda huu jamaa kafata ftari maana ilikuwa sala ya saa 1.maakuli yalivyoshushwa pale ye ndo namba moja kufakamia maftari nikawa nacheka tuu.baadae nikamuuliza vipi jombii akabaki anachekaa tuu huku ananijibu asee napenda ftari sana
 
hahaha kamatia fursa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
We jamaa hivi upo Jf bado kumbe? Kitambo sana chief..za Mozambique
Nipogo ndg yangu,mozambique njaa tu kaka deni la Taifa ni US$ 10b wajanja walijikopesha ndio tunahangaika kulilipa hutujui litaishi lini,wazungu wamegoma kutukopesha mpaka tuoneshe hizo hela tumezifanyia nini
Nalog off
 
Kuna siku nimeingia masjid flani kuswali daahhh kucheki pembeni namuona jamaa mkristo kabisa anasali vizuri sana km muislamu!nikavunga maana nilijua muda huu jamaa kafata ftari maana ilikuwa sala ya saa 1.maakuli yalivyoshushwa pale ye ndo namba moja kufakamia maftari nikawa nacheka tuu.baadae nikamuuliza vipi jombii akabaki anachekaa tuu huku ananijibu asee napenda ftari sana
Futari tamu sana Kaka
Nalog off
 
Back
Top Bottom