Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Tuliza ball dogo. Nakumbushia enzi zangu...nikiwa na umri kama wakoWewe mzee unazeeka vibaya [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliza ball dogo. Nakumbushia enzi zangu...nikiwa na umri kama wakoWewe mzee unazeeka vibaya [emoji23][emoji23]
We jamaa malaya sana. Umeanza kwenda gesti ukiwa shule ya msingi? Wenzio tulikuwa tunapiga ngwala kwenye michongoma.... miiba wala tulikuwa hatuisikiiSitasahau siku Baba anifume namgegeda shangazi getoo tukivunga tunajisomea...
Nilihama nyumba kwa muda..
Siku moja niko naelekea Guest na Demu fulani ile tunaukaribia mlango wa geti tukaona geti linafunguliwa na Baba anatoka na pikipiki mbaya zaidi kamuaga mama kua ameenda kijijini..
Aise ambapo sikuzimia siku ile kwa kihoro baasii..
Anaonekana anakipaji cha utafiti.Ulimtesa kuku msh.enz ww....[emoji23][emoji23][emoji23]
Shikamoo babu..Mi nakumbuka nilivoweka supagluu kwenye kinyeo cha kuku
Baada ya siku mbili yule kuku alikuwa anatembea kama anacheza singeli
Ee Mungu naomba unisamehe kwa maana kisu kililazimika kutenganisha kichwa na kiwiliwili cha kuku yule kabla ziraili hajamchukua...
Kingine... kinginee
Ziwa Victoria nikiwaangalia wavuvi na mitumbwi yao. Nikaona isiwe tabu. Nikachukua beseni na mwiko wangu nikazama ziwani kupiga makasia... haikuchukua muda nikapigwa wimbi nikazamishwa majini. Namshukuru Mungu nilivunja rekodi ya mtoto aliyekunywa maji mengi kwa wakati mmoja. Rekodi hiyo iliambatana na zawadi ya bakora za kutosha kutoka kwa mwalimu wangu ambaye alitokea kuwa mama yangu mzazi...
Nawashukuru wale wavuvi huenda muda huu ningekuwa na Kanumba tunarekodi bongo movie chini ya director Bob Marley
Ee Mungu saidia watu hawa wasiione hii post:
Daby Bonny
Sakayo Numbisa Curious gal geniveros Shunie espy Sky Eclat
Haha,Tuliza ball dogo. Nakumbushia enzi zangu...nikiwa na umri kama wako
We jamaa malaya sana. Umeanza kwenda gesti ukiwa shule ya msingi? Wenzio tulikuwa tunapiga ngwala kwenye michongoma.... miiba wala tulikuwa hatuisikii
Oh my goodness! Please spare my ribsMi nakumbuka nilivoweka supagluu kwenye kinyeo cha kuku
Baada ya siku mbili yule kuku alikuwa anatembea kama anacheza singeli
Ee Mungu naomba unisamehe kwa maana kisu kililazimika kutenganisha kichwa na kiwiliwili cha kuku yule kabla ziraili hajamchukua...
Kingine... kinginee
Ziwa Victoria nikiwaangalia wavuvi na mitumbwi yao. Nikaona isiwe tabu. Nikachukua beseni na mwiko wangu nikazama ziwani kupiga makasia... haikuchukua muda nikapigwa wimbi nikazamishwa majini. Namshukuru Mungu nilivunja rekodi ya mtoto aliyekunywa maji mengi kwa wakati mmoja. Rekodi hiyo iliambatana na zawadi ya bakora za kutosha kutoka kwa mwalimu wangu ambaye alitokea kuwa mama yangu mzazi...
Nawashukuru wale wavuvi huenda muda huu ningekuwa na Kanumba tunarekodi bongo movie chini ya director Bob Marley
Ee Mungu saidia watu hawa wasiione hii post:
Daby Bonny
Sakayo Numbisa Curious gal geniveros Shunie espy Sky Eclat
Mimi ni babu. Umri wa mababu unajulikanaHv ww unamiaka mingap?
Weka picha tuonee
Mi na Curious gal hatujafahamiana gengeni. Huwezi kutufitini asilaniHaha,
Cc Curious gal kwa like kisha unishike mkono twende nikakukague
Aseeee.!!Kovu nnalo la kufinywa na bibi. Enzi hizo wageni wakija ilikuwa desturi kutengenezewa chai. Sasa nisipopewa nlikuwa na katabia ka kuingia chini ya meza nikijifanya nacheza afu naamka na meza ili chai imwagike tukose wote....
Hiyo siku nliingia cha kike. Sikujua bibi alishanistukia akawa ananilia timing. Yule mamaake baba alinifinya kwa kisu asee. Kama si babaangu ambae ni mwanae kuniokoa angefyeka korodani zangu wallah...
Kumbuka enzi hizo sukari ilikuwa adimu... tuliokuwa tunakunywa chai ni familia za watumishi wa umma wenye vyeo vya kati na vya juu
Mungu amlaze mahali pema peponi... bibi yule alininyoosha mpk nikaacha yale mambo... ndo maana hivi sasa nina hekima kama Uhuru Kenyatta.
Umaenza kuniharibia sasa. We veepee?
Mazungumzo yatakuwa ya siri kimakinikia kaa chonjo mwanaharamu anapitaMi na Curious gal hatujafahamiana gengeni. Huwezi kutufitini asilani
Watch out!Mazungumzo yatakuwa ya siri kimakinikia kaa chonjo mwanaharamu anapita
Ewaaaa....Hapana babu..
Wewe endelea tuu
Sasa hivi vijana wanasema wanaenda zimbabwe kwa hiyo michichu haipo jua Roma na wenziwe wameihamishia hukoWatch out!
Not tu zet eksitent