Uzi maalumu kwa Vituko vyako vya utotoni mpaka la STD 7!

Uzi maalumu kwa Vituko vyako vya utotoni mpaka la STD 7!

Siku moja tukawa mademu wakawa wanatuita tuwagegede mademu kama wanne sisi tupo 2boys tuliwagegeda unatoka hapa unapanda kwa mwingine ilikuwa raha!!

Samsung SH 8 Mobile Traveller
 
Sitasahau siku Baba anifume namgegeda shangazi getoo tukivunga tunajisomea...
Nilihama nyumba kwa muda..

Siku moja niko naelekea Guest na Demu fulani ile tunaukaribia mlango wa geti tukaona geti linafunguliwa na Baba anatoka na pikipiki mbaya zaidi kamuaga mama kua ameenda kijijini..
Aise ambapo sikuzimia siku ile kwa kihoro baasii..
We jamaa malaya sana. Umeanza kwenda gesti ukiwa shule ya msingi? Wenzio tulikuwa tunapiga ngwala kwenye michongoma.... miiba wala tulikuwa hatuisikii
 
Nilikuwa mkorofi na mchonganishi kupita kiasi ili nikimbizwe baada ya muda wa vipindi kwisha. Nilikuwa na sifa moja ukinikimbiza nikakuacha hatua tano hata mje shule nzima hamnikamati. Shule zingekuwa zinavumbua vipaji ningekuwa Usain Bolt zamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nakumbuka nilivoweka supagluu kwenye kinyeo cha kuku

Baada ya siku mbili yule kuku alikuwa anatembea kama anacheza singeli

Ee Mungu naomba unisamehe kwa maana kisu kililazimika kutenganisha kichwa na kiwiliwili cha kuku yule kabla ziraili hajamchukua...

Kingine... kinginee

Ziwa Victoria nikiwaangalia wavuvi na mitumbwi yao. Nikaona isiwe tabu. Nikachukua beseni na mwiko wangu nikazama ziwani kupiga makasia... haikuchukua muda nikapigwa wimbi nikazamishwa majini. Namshukuru Mungu nilivunja rekodi ya mtoto aliyekunywa maji mengi kwa wakati mmoja. Rekodi hiyo iliambatana na zawadi ya bakora za kutosha kutoka kwa mwalimu wangu ambaye alitokea kuwa mama yangu mzazi...

Nawashukuru wale wavuvi huenda muda huu ningekuwa na Kanumba tunarekodi bongo movie chini ya director Bob Marley

Ee Mungu saidia watu hawa wasiione hii post:
Daby Bonny

Sakayo Numbisa Curious gal geniveros Shunie espy Sky Eclat
Shikamoo babu..

Sakayo pita huku
 
Hv ww unamiaka mingap?
Weka picha tuonee
We jamaa malaya sana. Umeanza kwenda gesti ukiwa shule ya msingi? Wenzio tulikuwa tunapiga ngwala kwenye michongoma.... miiba wala tulikuwa hatuisikii
 
Mi nakumbuka nilivoweka supagluu kwenye kinyeo cha kuku

Baada ya siku mbili yule kuku alikuwa anatembea kama anacheza singeli

Ee Mungu naomba unisamehe kwa maana kisu kililazimika kutenganisha kichwa na kiwiliwili cha kuku yule kabla ziraili hajamchukua...

Kingine... kinginee

Ziwa Victoria nikiwaangalia wavuvi na mitumbwi yao. Nikaona isiwe tabu. Nikachukua beseni na mwiko wangu nikazama ziwani kupiga makasia... haikuchukua muda nikapigwa wimbi nikazamishwa majini. Namshukuru Mungu nilivunja rekodi ya mtoto aliyekunywa maji mengi kwa wakati mmoja. Rekodi hiyo iliambatana na zawadi ya bakora za kutosha kutoka kwa mwalimu wangu ambaye alitokea kuwa mama yangu mzazi...

Nawashukuru wale wavuvi huenda muda huu ningekuwa na Kanumba tunarekodi bongo movie chini ya director Bob Marley

Ee Mungu saidia watu hawa wasiione hii post:
Daby Bonny

Sakayo Numbisa Curious gal geniveros Shunie espy Sky Eclat
Oh my goodness! Please spare my ribs
 
Nilikuwa Mkorofi sana ..... Nilianza darasa La kwanza Mwezi wa tatu kutokana na matatizo na maradhi niliyopitia ....

Siku ya kwanza Shule ..Nilimu ng'atia mwanafunzi mwenzangu Kifutio cha Penseli yake ... Jamaa alinipiga nikataka kulia ...basi wanafunzi waka liamsha mwl .huyu hapa anampiga mgeni [emoji23][emoji23][emoji23] ile Mwl kuja ..msala ukahamia kwa Jamaa ....

2. Kipindi hicho udogoni Nilikuwa Mafia balaa ....Nilikuwa nachukua Vyombo vya Plastic Nachemshia maji [emoji23][emoji23][emoji23] Vinaungua .... Bakora nachapwaa

Niliendaga kuchunga Mbuzi ...saa ngapi mbuzi wasinitoroke waingie shamba la watu ....basi bhanaa jioni yule Maza mwenye shamba akanifuata mpaka nyumbani akanichomea kwa Baba .... Basi nikaanza kupigwa Dizain flani hivi kama watu wa Mieleka yaani na bebwa juu naachiwa nadondoka chini yaani mpaka yule mama akakimbia [emoji23][emoji23][emoji23] Nafikiri aliogopa kuwekwa kwenye source ya Mauaji [emoji23][emoji23][emoji23]....

Kingine bhanaa mm nimezaliwa kijijin na nikakulia kijijin ...sasa wakati flani wa Masika nilikuwa na kikundi cha Kuingia Mashambani kwa watu kutafuta Matikiti maji ..... Sasa tukiyapata tunakula humo humo shambani ..sasa tukanasiwa gemu tulichapwa haijawahi kutokeaa.....

Tukiendaga kuchunga na watoto wa kike tuna cheza baba mama .... Sasa Mimi walikuaga wananiogopa maana nilikuwa na dushelele kubwa nikiingiza tu Analiaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Daahh !!!!! Mungu Mkubwa

Don't put all egg on one Basket
 
Kovu nnalo la kufinywa na bibi. Enzi hizo wageni wakija ilikuwa desturi kutengenezewa chai. Sasa nisipopewa nlikuwa na katabia ka kuingia chini ya meza nikijifanya nacheza afu naamka na meza ili chai imwagike tukose wote....

Hiyo siku nliingia cha kike. Sikujua bibi alishanistukia akawa ananilia timing. Yule mamaake baba alinifinya kwa kisu asee. Kama si babaangu ambae ni mwanae kuniokoa angefyeka korodani zangu wallah...

Kumbuka enzi hizo sukari ilikuwa adimu... tuliokuwa tunakunywa chai ni familia za watumishi wa umma wenye vyeo vya kati na vya juu

Mungu amlaze mahali pema peponi... bibi yule alininyoosha mpk nikaacha yale mambo... ndo maana hivi sasa nina hekima kama Uhuru Kenyatta.
Aseeee.!!
 
Siku moja nikisoma vidudu kulikuwa na familia wanahisiwa ninwachawi sasa siku hiyo mvua ikanyesha kama saa 5 asubuhi tukaenda kujikinga mvua wenzangu wakasepa mimi nikaka nikaona wapo busy na ubeche sikutoka mpaka nikafinya kumbe wengine wamepita home nakusema nilipo niliporudi nilipewa kibano sijawahi ona

Samsung SH 8 Mobile Traveller
 
Back
Top Bottom